Siku nyingine mke wako ndio akukumbatie wewe wakati wa kulala

Siku nyingine mke wako ndio akukumbatie wewe wakati wa kulala

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Haiondoi uanaume, siku moja moja, wakati wa kulala, mke akukumbatie wewe, it feels so fantastically good.
Kuwa mwanaume sio kuwa ndo ni jiwe, get a hug some day and you will remember this thread, especially on how nice it feels to.

Wadada muwakumbatie waume zenu wakati wa kulala, it is so relaxing.
 
Je anakua anakushika kiuno au anakushikaje akiwa nyuma ya mgongo?
 
Ndiyo umelijua leo hilo mkuu?Mke ajilaze kifuani kwa upole huku anahesabu vinyweleo/garden-love mpangilio wake. Mume unakua unaunguruma polepole kama paka dume aliyeshiba windo lake.
 
Sisi hatuwezi hata kukumbatiana kwa usalama wako kaa mbali
Ila ukimgusa hata na kidole eeeeee
Ni kilimo aiseee
Yaani unakumbatiwaje usiku kucha
 
Ishi nae kwa akili mno. Iliandikwa
 
Siku akikupiga kabari ndio utajua huo mchezo sio
 
Haiondoi uanaume, siku moja moja, wakati wa kulala, mke akukumbatie wewe, it feels so fantastically good.
Kuwa mwanaume sio kuwa ndo ni jiwe, get a hug some day and you will remember this thread, especially on how nice it feels to.

Wadada muwakumbatie waume zenu wakati wa kulala, it is so relaxing.
Mim kimbaombao nawezaje mkumbatia mtu mkubwa
 
Hii inawahusu zaidi wale wanaume wasiopenda kugeuka geuka...
 
Back
Top Bottom