Siku nzuri za mwanamke kupata ujauzito

frank matovu

Senior Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
141
Reaction score
108
Wanawake na wanaume wengi walio nje au ndan ya ndoa hawajui cku gan wanamke anapata mimba,ufanya tu kwa kubahatisha

leo ngoja niwatie kwa class
kimya naomba mnisikilize hata kama unajua bac utajua zaid

KWANZA LAZMA UJUE MKE\MPENZ MSUNGUKO WAKE CKU NGAPI,KAMA 28 AU 30
MFANO 1
KAMA MZUNGUKO WAKE SIKU
28\2=14 ~3, 14 JUMLISHA 3
YAAN
ILI KUPATA MIMBA NUSU YA MZUNGUKO TOA 3 SAWA NA 11 THEN ILE 14 JUMLISHA 3 SAWA NA 17
HIVYO
SIKU ZA KUPATA MIMBA KWA MWANAMKE WA MZUNGUKO WA CKU 28 N
SIKU YA 11 TANGU KUPATA HEDHI HADI CKU YA 17 BAADA YA HEDHI

WANAWAKE WENGI UANZE KUHESABU BAADA YA KUMALIZA HEDHI
M N A K O S EA
NDO MANA NASEMA HAKUNA MWANAMKE MGUMBA
FATA HAYO THEN BAADA YA MUDA UJE UTOE USHUHUDA
 
Sijui Kwanini nilivosoma nimerudi kuangalia avatar yako
 
Eti naomba mnisikilize,hivi hayo maandishi yako yanatoa sauti,au ndio kujitia tu uchizi hapa na mada za wanawake?
Really??
 
Sijakuelewa kabisa mleta mada.
Sijakuelewa kwenye 11 tangu kupata hedhi na 17 baada ya kupata hedhi.
Fafanua vizuri kwenye 11 na 17.
 
Sijakuelewa kabisa mleta mada.
Sijakuelewa kwenye 11 tangu kupata hedhi na 17 baada ya kupata hedhi.
Fafanua vizuri kwenye 11 na 17.
Unaanza kuhesabu from first day of the last menstruation then danger zone ni kuanzia siku ya 11-17 kwa mwanamama mwenye mzunguko wa 28 datys
 
Hongera Mtaalamu kwa kugundua hilo anzisha clinic kama Dr Ndodi au Dr Mwaka upige fedha.
 
Unaanza kuhesabu from first day of the last menstruation then danger zone ni kuanzia siku ya 11-17 kwa mwanamama mwenye mzunguko wa 28 datys
Bora umemsaidia kuweka maelezo yake sawa.
Labda atakuja kuelewesha tena tumsikilize atasema nini.
Nimekuelewa vizuri mkuu, kwa maneno mengine unamaanisha "siku 11 mpaka 17 baada ya hedhi".
Si ndiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…