Siku Taifa Stars Ikibeba Kombe La Dunia Litahifadhiwa Wapi?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Ikitokea siku timu ya taifa Mpira wa Miguu ikabeba Kombe la Dunia,kombe hilo litahifadhiwa wapi?

Kwenye Ofisi za Tff,Kambi za Jeshi au tutaomba nchi za nje watuhifadhie au likafichwe hata vijijini huko?

Manake nasikia kombe lile ni Dhahabu Tupu.

Na vile hata ukivaa kapete kadogo tu kadhahabu watu wanakuchongea dili Je hilo Kombe itakuaje Sasa?
 
Hahahahaha umenikumbusha story moja hivi, Sijui ni wapi ilitokea nimesahau ila kuna Viongozi wa Kipolisi barani Africa walikua wanabadilishana Uongozi wa Jumuiya yao hio kama ilivyo kwa EAC au AU. Sasa ikifika zamu ya hio nchi, wakapewa Fimbo ya dhahabu tupu ambayo ndio kama ishara ya kuwa kiongozi kwa muda huo, aiasee Jamaa muda wake wa uongozi umeisha, kagoma kiwarudishia mwenzie ile fimbo ya dhahabu anadai imeibwa ofisini kwake, wakachonga ya kuchovya faster!!!! Hahahahaha hata hilo Kombe huenda likapata mkasa kama huu kama itatokea.
 
Ile siwa ya bunge la katiba ipo wap na madini yake
 
Ikitokea siku timu ya taifa Mpira wa Miguu ikabeba Kombe la Dunia,kombe hilo litahifadhiwa wapi?

Kwenye Ofisi za Tff,Kambi za Jeshi au tutaomba nchi za nje watuhifadhie au likafichwe hata vijijini huko?

Manake nasikia kombe lile ni Dhahabu Tupu.

Na vile hata ukivaa kapete kadogo tu kadhahabu watu wanakuchongea dili Je hilo Kombe itakuaje Sasa?
kombe la dunia la wapi na nini
 
Hahahahaha umenikumbusha story moja hivi, Sijui ni wapi ilitokea nimesahau ila kuna Viongozi wa Kipolisi barani Africa walikua wanabadilishana Uongozi wa Jumuiya yao hio kama ilivyo kwa EAC au AU. Sasa ikifika zamu ya hio nchi, wakapewa Fimbo ya dhahabu tupu ambayo ndio kama ishara ya kuwa kiongozi kwa muda huo, aiasee Jamaa muda wake wa uongozi umeisha, kagoma kiwarudishia mwenzie ile fimbo ya dhahabu anadai imeibwa ofisini kwake, wakachonga ya kuchovya faster!!!! Hahahahaha hata hilo Kombe huenda likapata mkasa kama huu kama itatokea.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] aisee hiyo kali dhahabu sio mchezo Ndugu

Kama wasanii wengine wakija tu wanavuliwa dhahabu airport itabd hata hilo kombe likaletwe na Ndege za jeshi
 
Ikitokea siku timu ya taifa Mpira wa Miguu ikabeba Kombe la Dunia,kombe hilo litahifadhiwa wapi?

Kwenye Ofisi za Tff,Kambi za Jeshi au tutaomba nchi za nje watuhifadhie au likafichwe hata vijijini huko?

Manake nasikia kombe lile ni Dhahabu Tupu.

Na vile hata ukivaa kapete kadogo tu kadhahabu watu wanakuchongea dili Je hilo Kombe itakuaje Sasa?
Future impossible tense!
 
yan mpaka ifikie stars wachukue hilo kombe basi kizazi hiki chote kitakuwa kimegeuko siol miaka mingi tu na hata lutuba imesha kwisha kabisa.
 
Tanzania nchi yetu ina madini ya dhahabu ya kutosha, almasi na hata Tanzanite.
-Hatutaki kombe la dhahabu sababu hapa kwetu dhahabu ipo
 
Back
Top Bottom