kombe la dunia la wapi na niniIkitokea siku timu ya taifa Mpira wa Miguu ikabeba Kombe la Dunia,kombe hilo litahifadhiwa wapi?
Kwenye Ofisi za Tff,Kambi za Jeshi au tutaomba nchi za nje watuhifadhie au likafichwe hata vijijini huko?
Manake nasikia kombe lile ni Dhahabu Tupu.
Na vile hata ukivaa kapete kadogo tu kadhahabu watu wanakuchongea dili Je hilo Kombe itakuaje Sasa?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] aisee hiyo kali dhahabu sio mchezo NduguHahahahaha umenikumbusha story moja hivi, Sijui ni wapi ilitokea nimesahau ila kuna Viongozi wa Kipolisi barani Africa walikua wanabadilishana Uongozi wa Jumuiya yao hio kama ilivyo kwa EAC au AU. Sasa ikifika zamu ya hio nchi, wakapewa Fimbo ya dhahabu tupu ambayo ndio kama ishara ya kuwa kiongozi kwa muda huo, aiasee Jamaa muda wake wa uongozi umeisha, kagoma kiwarudishia mwenzie ile fimbo ya dhahabu anadai imeibwa ofisini kwake, wakachonga ya kuchovya faster!!!! Hahahahaha hata hilo Kombe huenda likapata mkasa kama huu kama itatokea.
Future impossible tense!Ikitokea siku timu ya taifa Mpira wa Miguu ikabeba Kombe la Dunia,kombe hilo litahifadhiwa wapi?
Kwenye Ofisi za Tff,Kambi za Jeshi au tutaomba nchi za nje watuhifadhie au likafichwe hata vijijini huko?
Manake nasikia kombe lile ni Dhahabu Tupu.
Na vile hata ukivaa kapete kadogo tu kadhahabu watu wanakuchongea dili Je hilo Kombe itakuaje Sasa?
We have hold our siwa tighten cuz it's a good thing in life. SIWA IPO NA ITAENDELEA KUWEPO.Ile siwa ya bunge la katiba ipo wap na madini yake