siku tamu...

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,150
Reaction score
9,255


migogoro mingi ya maisha ipo kila kukicha,
mafarakano mengi ndani ya mahusianoi yapo kila dakika.
lakini hiyo bado haituzii kupenda, kutunzana namengineo mengi.

kuna mambo mengi yanayotufanya tupende wepenzi wetu,
yaweza kuwa yaweza kuwa unampenda yeye sababu mnajuana ndani nje,
mmekuwa pamoja kwa muda mrefu sana, au vitu kama personality yake ina
kuvutia kiasi kwamba wamfikiria kila dakika, na kuna wale wenzangu na mie
wanaopenda ndevu, macho, masikio yake, sijui mdomo, pua , kofia , mfupi etc.
swali nini haswa kinakufanya umpende ulienae?

siku tamu..
kuna wengine hawataisahau , siku fulani katika mahusiano yao,
na hata baada ya mahusiano kuporongoka bado kuna siku au kuna
kitu alipewa ambacho hata kisahau daima..
Je una siku tamu ambayo huta kaa uisahau? au una kitu ambacho
hutakaa ukisahau?

siku tamu na mambo matamu ndio yanayotufanya tusonge mbele, waweza kuwa na siku mbaya sana ila ukikumbaka
kitu fulani kizuri, tabasamu fulani tu linarudi taratibu..

Muwa na vilentine Njema kabisa na mbarikiwe sana..


[TABLE="class: style, align: center"]
[TR]
[TD]


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 

[TD="align: center"]



Your eyes, your smile. Your touch, your kiss. Your promise, your words. Our everlasting bliss.


Happy
Valentine Day!

LONG LIVEE & LOVE JF.....!!!



[/TD]
[TD="width: 100%, bgcolor: #FFD7FF, align: center"]

[TD="align: center"]
[/TD]

[/TD]

[TD="width: 100%, align: center"]
[/TD]
 
Wao Sizinga naona leo umeamka na animation za hatari asante sana ..
sasa hiyo poster yako ya pili malizia tu hapo mwisho
something like .. Mwanajuma will you marry me please?
haha lol..

Happy valentines day Sizinga

 
Wao Sizinga naona leo umeamka na animation za hatari asante sana ..
sasa hiyo poster yako ya pili malizia tu hapo mwisho
something like .. Mwanajuma will you marry me please?
haha lol..

Happy valentines day Sizinga




Hhaaaa I'm speechless...just define whatever is good, whoever is ok!!
 
Unasikia Afro...nasikia hii kitu imekuwa cancelled ni kweli? Hembu check hapa


VALENTINE DAY HAS BEEN CANCELLED!!

THIS HAS BEEN PROVED OFFICIALLY, MENTALLY AND MATHEMATICALLY THAT 14-02-12=0 HENCE NO VALENTINE DAY THIS YEAR!!!
 
Unasikia Afro...nasikia hii kitu imekuwa cancelled ni kweli? Hembu check hapa



hahahahahahahaah , watajiju
mambo mengine si ya kuchunguzwa sana..
leo ni jumanne tarehe 14 mwezi wa pili kama kawa
tunasherehekea, ambao hawapendi wakalale tu hakuna mbaya.
 
Haya mi ngoja nkalale..nahitaji kukua kwanza!! Acha wengine waliendeleze gnt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…