Siku timu ya Taifa ilipocheza vifua wazi

Wakati wa JK cd ilipiga wimbo wa alaji as wimbo wa taifa.

Aliyefanya hivyo alichukuliwa hatua gani? Wakati wa JK aka Julius Kambarage, kulikuwa kuna wimbo huo?
 
Mh, wewe Bujibuji, umenishtua kweli nilipoona "wacheza" kumbe "walicheza"!!..Naam, ndio enzi zile, mkuu.
 
Kaka/dada zomba sio kosa lako ni matokeo ya hila za Ponda na Mohamed Said ndio zimekufanya mind yako iwe na mtazamo wa aina hiyo;
kupitia radio imaan na mihadhara ya magomeni na manzese
 
Last edited by a moderator:

Acha uongo bana, mbona hata hizo kaptula walizovaa hazifananani!!.
 
Huo ndio wakati wa Nyerere. Halafu bado watu wanamsifia.

Duh.. Mkuu Zomba chuki kwa Nyerere inakufanya ushindwe hata kuona hapo kwenye red letters..? Na sababu umeambiwa kwamba jezi zilifanana..

Labda unijuze.. Amekufanyia nini kibaya kiaci cha kuwa na chuki iliopitiliza dhidi ya Marehemu Nyerere..?
 
Walikuwa wanapiga kazi km kawa..............sasa hawa maproo wetu wa siku hizi ni balaa tupu!
 
Kaka/dada zomba sio kosa lako ni matokeo ya hila za Ponda na Mohamed Said ndio zimekufanya mind yako iwe na mtazamo wa aina hiyo;
kupitia radio imaan na mihadhara ya magomeni na manzese

Wewe mtazamo wako upi? ni wakati wa kiongozi yupi hiyo picha? na wakati huo usishngae ya kukosa jezi, watu hata sukat=ri ilikuwa kilo kwa wiki kwa kaya, tulikuwa tunakimbiza gari la kusambaza hatujui lina nini, unafika unaambiwa leo kuna vibiriti, kaeni foleni. Hukuwepo kijana, tumetoka mbali na hakuna wakati mbaya tuliouishi Watanzania tuliopo hai tokea ukoloni kama wakati wa Nyerere, hilo ukipenda usipende ndio ukweli.
 
Duh.. Mkuu Zomba chuki kwa Nyerere inakufanya ushindwe hata kuona hapo kwenye red letters..? Na sababu umeambiwa kwamba jezi zilifanana..

Labda unijuze.. Amekufanyia nini kibaya kiaci cha kuwa na chuki iliopitiliza dhidi ya Marehemu Nyerere..?

Nilikuwepo uwanjani, sababu haikuwa jezi kufanana, mdanganywe mliokuwa hampo. Sababu ni uzembe na mpira ulianza kuchezwa kabla jezi hazijaja.
 
Huo ndio wakati wa Nyerere. Halafu bado watu wanamsifia.

mkuu wakati mwingine napata mashaka na uwezo wako wa kufikiri, jaribu kufikiri ww ni baba wa familia pesa unaacha nyumbani za matumizi lakini watoto wanalala njaa nani wa kulaumiwa kwanza
 
Ni wakati wa Nyerere tu nchi hii ilikuwa na maendeleo mkubwa katika soka
1. kucheza mataifa ya Afrika( 1980) Lagos
2. Wachezaji wetu 2 kuchaguiwa kombaini ya Afrika
3. Vikombe vya Afrika Mashariki na kati kwa vilabu(simba na Yanga) na timu ya Taifa

Haya, hizi za facebook na twiter mnajivunia nini
 
Alikuwa Rais wa Tanzania na Chama cha mpira kilikuwa chini ya wizara ya michezo.

hivi wewe akili zako sawa kweli? yaani umeruka mwenyekiti wa FAT, waziri wa michezo unamlaumu rais!we hauwezi kuwa huna ubongo wa pimbi mwehu! kwa hiyo na kipindi kile CD zilipogoma kupiga national anthem pale uwanja wa taifa ulitaka alaumiwe kikwete? mbuzi kavimba wee!!
 
Wewe unajuwa mpira ulikuwa unaongozwa vipi? au unajisemea tu?

Unataka alaumiwe nani Kikwete? wakati uzembe ulikuwa kila sehemu si kwenye jezi tu.

Kuhusu CD, alifanywa nini aliyekuwa na jukumu hilo?
 
Sizani kama kichwa chako kiko sawa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Wewe chako kilichokuwa sawa, huo ulikuwa wakati wa nani? na nini kilikuwa kinafanyika sawa? msisifu kwa kuwa mmejazwa Ubaguzi wa Ujinga.
 
mkuu wakati mwingine napata mashaka na uwezo wako wa kufikiri, jaribu kufikiri ww ni baba wa familia pesa unaacha nyumbani za matumizi lakini watoto wanalala njaa nani wa kulaumiwa kwanza

Baba wa familia anatakiwa awalishe awavishe watu wa nyumbani kwake, hatakiwi awache pesa, mzae mwanao leo halafu mpe pesa uone kama zitamshibisha.

Wakati wa Nyerere hata kula ilikuwa shida, una pesa mfukoni huna cha kukinunuwa, au hujui hilo?
 
Mkuu umesahau kitu kimoja kila kitu ukitaka sharti uende RTC upange foleni
 
Nilikuwepo uwanjani, sababu haikuwa jezi kufanana, mdanganywe mliokuwa hampo. Sababu ni uzembe na mpira ulianza kuchezwa kabla jezi hazijaja.

Kwani ilikuwa mwaka gani Mkuu..?
 
Nmeipenda picha!
 
Kwani ilikuwa mwaka gani Mkuu..?

Huo ulikuwa mwaka wa 70, wakati wa Afro 70. Nyerere hapo kisha taifisha mali za watu kwa miaka 3, kila kitu kinaanza kuyumba.

Baba yako alikuwepo?

Ukishindwa kujibu hilo nakuuliza, toka kuzaliwa kwako, umeshaona Mbwa, Paka, Panya na Kunguru wakila pamoja jalalani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…