Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
NI "waadhirika" maana wameadhirika.sasa tuwahitaje? Waathirika? Waliopoteza maisha?
Watu wako proud na skyscrapers za Muhindi sijui Westlands, wakijivunia picha za gated community zilizojaa foreigners huku ndugu zao weusi wakifa maji hata basic rescuing gear hawana, so sad!
Wakenya wengi wamekosa imani na KDF, hasa watu wa pwani, wanatoa matusi na kumuomba Uhuru Kenyatta alivunje KDF na kuunda jeshi jipya.
KDF limeshindwa kuzuia Alshabaab kujipenyeza Kenya na kushambulia wakenya, hadi sasa madaktari toka Cuba hawajapatikana, hili la kushindwa kuzamia hii gari kwa siku ya tatu limethibitisha udhahifu mkubwa wa KDF. Utasikia wakenya wakisifia bajeti kubwa ya KDF, sasa bajeti kubwa inatumikaje jamani?
Kumbe huaga unaumizwa na gated communities...naona unajiliwaza na foreigners
Mdude ndio kapatikana
πKingereza Mobu hamuwezi kuokoa wahanga siku tatu sasa? Kwa nini msije tu kuomba msaada kwa Wavuvi wetu hapa kigamboni wawasaidie?
Maadui wa kenya sasa wameshajua kuwa wakitaka kuivamia kenya wapitie baharini maana kuna weak and useless kenya Navy Army πππWakenya kuanzia Leo lazima mkubali kwamba KDF is the weakest Army in this zone. Sasa anzeni kuuliza umuhimu wa bajeti kubwa kwa Wizara ya Ulinzi kama KDF halina uwezo wa kusaidia katika mambo muhimu kama hili. Pesa yote wanagawana wakikuyu.
Hamna akili ndio sababu hamjui kinachotokea duniani
Naumizwa sana tu, binafsi sipendi gated community!