Ilikuwa primary katika shule yetu ambapo tulipata ugeni wa wazungu wenye pua ndefu (wajerumani),hakika siku hiyo kilikuwa kivumbi na jasho mule darasani.
Lugha ilikuwa ni zaidi ya gongana,wale wazungu walikuwa tisa,sijui walikuwa na project gani pale kijijini tukiwa hatujui lile wala hili ghafla wakawa wametutembelea na ndipo wakapata nafas ya kuja darasani kwetu.
Ilikuwa saa tisa alasiri kitu pekee ambacho nakikumbuka ambacho sisi wanafunzi tuliweza kuzungumza ni wote kwa pamoja kusalimia "good morning teachers" zaidi ya hapo mwalimu wetu aliniita ntandaba come and clean the blackbord.Mwalimu toka alivyotokomea ofisini na sisi wanafunzi tukabaki kutetemeka huku wale jamaa wakiwa wanafungua madaftari yetu nakutubandikia stika za maua ya upendo
USIKU MZIMA nilikuwa naoto sana juu ya zile pua ndefu na nyuso nyembamba,wale wazungu wa zamani walikuwa wanatisha sana na tena walikuwa wanakichapa kiingereza cha wapi sijui