Siku tuliyoaibika wanafunzi na mwalimu wa darasa mbele ya wazungu darasani

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,483
Ilikuwa primary katika shule yetu ambapo tulipata ugeni wa wazungu wenye pua ndefu (wajerumani),hakika siku hiyo kilikuwa kivumbi na jasho mule darasani.
Lugha ilikuwa ni zaidi ya gongana,wale wazungu walikuwa tisa,sijui walikuwa na project gani pale kijijini tukiwa hatujui lile wala hili ghafla wakawa wametutembelea na ndipo wakapata nafas ya kuja darasani kwetu.
Ilikuwa saa tisa alasiri kitu pekee ambacho nakikumbuka ambacho sisi wanafunzi tuliweza kuzungumza ni wote kwa pamoja kusalimia "good morning teachers" zaidi ya hapo mwalimu wetu aliniita ntandaba come and clean the blackbord.Mwalimu toka alivyotokomea ofisini na sisi wanafunzi tukabaki kutetemeka huku wale jamaa wakiwa wanafungua madaftari yetu nakutubandikia stika za maua ya upendo
USIKU MZIMA nilikuwa naoto sana juu ya zile pua ndefu na nyuso nyembamba,wale wazungu wa zamani walikuwa wanatisha sana na tena walikuwa wanakichapa kiingereza cha wapi sijui
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]! Umenifanya nicheke kwa kweli
 
hahahaa
enzi hizo shikamoo kwa kizungu ni godimoni bila kujali majira.
umenichekesha sana...
 
Nimecheka kwa sauti mpk watu wakanishangaa. Salut kwako mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mwalimu katoka nduki lugha haipandi
 
Hahaahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman mwèe
 
haahaha yani io lugha bila ya kujiandaa na kuipractice inakuaibisha maana vocabulary mpya kila siku.......
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Aiseeh wewe unakipaji cha pekee umejua kunichekesha best hongera sana
 
Ingekuwa kama zama za makinikia mngetafuta mkalimani hapo lakini lugha gongana ikizidi mnaeza hata mfukuza tena mkalimani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…