Ze Rock
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 270
- 565
Nawasalimia wana Jf kwa tabasamu [emoji4] ohhho kumbe nimevaa barakoa 🤣
Anyways miaka ile ya black and white wahenga sisi tulikuwa tukitoka maskuli hasa tuliokuwa tumebahatika kutoka bush kuja town kusoma yaani tulianza kuzoea kushika shika hela na tukirudi home issue kubwa ilikuwa ni kusaidia wazee issue kama za shamba, kukata kuni na nyinginezo. Sasa bhana mimi nilijikita sana kwenye kusaka mtonyo ili mbali na hela zitokanazo na mgao wa pale maskani baada ya kuuza mazao nikijumlisha na zile za mishe zangu aahaa kibunda kinanona sana alafu skuli nakuwa mtamu bush boy ila ke mtonyo nakuwa niko fresh kibwena, sema (kibwena 🤣) inatosha inatosha!
Issue kubwa niliyokuwa naifanya mimi kama mimi ni kubeba mizigo na kuitia abiria kwenye mabasi stand, ndiyo nilikuwa nafanya hivyo. Kazi ambayo niliifanya kwa muda mchache sana ila nikapata umaarufu mkubwa kwa uwezo wa kuongea na watu na mbwembwe za hapa na pale pindi ninapowapokea abiria na kuwapeleka kwenye basi ambalo siku hiyo nimepata deal la kujaza na kiufupi basi nitakalopewa mm lazima lijae kwanza wengine ndiyo wapakie yote haya ni sababu niliyoisema hapo juu customer care ilikuwa zaidi ya wahudumu wa ke ndege🤣.
Siku ya tukio kama kawa kijana nimefika eneo la standi nimetulia sehemu nasoma mchezo wa siku naanzia wapi? Akaja jamaa mwenye asili ya kiarabu ( shombe shombe ) alikuwa anasimamia mabasi flan yatokayo wilaya flan huko mikoa isiyo na bahari 🤣enzi hizo mabasi yenye keria juu bila shaka umeyapata, ehee hayo hayo. Akaniambia oyaaa dogo kama kawa fanya mambo basi faster tuamshe, nikamuelewa vizuri kijana nikaanza mbwembwe zangu pale abiria akiingia tu nimemdaka nampokea nampeleka kwenye lile basi la yule jamaa shombe shombe kama dakika kumi na tano hivi basi likawa limejaaa nikamfuata yule jamaa ili anipe changu looooh! Jamaaa akaanza sinema zake na yeye mara ohooo mara hii wewe dogo unachukua hela kiwepesi sana maneno kibwena. Nikatulia nikamsikiliza ngonjera zake weeee huku kichwani nasema kwa kuwa kazi yako nimeifanya kwa ufanisi unaona mimi tena bwege mtozeni... jamaa kwa dharau akatoka akaenda kukaa sehemu nyingine bila kunipa ujira wangu, na mimi ndiyo nimeganda tu pale kama sanamu la posta vile, akili ikiwa imevurugwa na yule shombe shombe ila kwa mbaaaali nikasema ngoja nicheze show ambayo itakuwa funga mwaka na kwa show hiyo lazima ni trend hapa stendi.
Nikatoka pale niliposimama kama abunuasi nikapata wazo nikaelekea kwenye gari lingine lililokuwa limepaki pembeni mwa lile niliokuwa napigia debe nikamuita konda wa ile basi kwa ishara akaja, unasemaje dogo? Mimi nikamwambia braza kwanza mambo vp? Poa dogo niambie? Ni watu wanao nijua pia akasema naona leo jamaa umemjazia mapemaaa..... nikamwambia niandalie fungu na wewe sasa hivi unaondoka yule braza akaniangaliaaa akasema acha utani sina abiria hata mmoja naondokaje ? Nikamwambia nikubalie kuwa utanipa mtonyo nifanye kazi jamaaa akasema poa dogo piga kazi.
Kosa walilofanya lile gari nililojaza la yule shombe shombe dereva alitoka kidogo pale standi kwa imani gari itachelewa kujaza sasa wakawa wanamsubiri dereva na mimi ndiyo nikapata mwanya nikasogea ndani ya lile basi la shombe shombe aliyenibania kunia ujira wangu, nikawaambia abiria samahani hili basi si mumeona limejaaa ila haliondoki kuna mtu ameomba kupakia maiti!!! Alahaula sijamaliza kauli watu kadhaa tayari wapo chini🤣🤣 nikatoa muongozo waende kwenye basi la hapo nje na likijaa wanaondoka ila kama unataka kusafiri na maiti wewe baki tu...wakati huo naongea kwa upole sana ili waaamini kile ninachosema kweli abiria wakanielewa wakashuka wakahamia basi la pili. Wale wahusika kwa mbaali wanashangaaa mbona abiria wanashuka kule na kuamia gari la pili? Shombe shombe akakurupuka jamani vipi tena tuna ondoka sasa hivi tu jamani.... abiria wamekausha wanaendelea na yakwao na mimi nawasaidia kuhamisha mizigo mdogo mdogo, nikafanikiwa kuwahamisha abiria wote, nyaambafu🤣🤣 konda wa basi akaniita akanipa fungu langu wakati huo dereva tayari ameshakaa kwenye stering analizimua zimua basi tayari kwa kuondoka.
Abiria mmoja akaropoka kumwambia shombeshombe hiyo maiti musafiri nayo wenyewe🤣🤣🤣🤣🤣 yule shombe shombe alito macho ya mshangao maiti???? Alafu gari ileeee ikasepa baadae ndiyo akaja kujua kuwa dogo ze rock kafanya yake toka ile siku alikuwa ananiheshimu balaaaa yaani ule mchezo ni kama wale majasusi wa Israeli walipoenda kuwaokoa watu wao uganda yaaani....
Nikawa napiga kazi kinoma na nilikuwa napendwa sana na wamiliki wa mabasi na makonda wao plus abiria. Yule shombe shombe aliendelea kunipa kazi na mimi niliendelea mpaka pale shule zikifunguliwa na mm naenda kubukua kufuta ujinga......🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mukiona michapio natumia tecnoooo jamani 🤣🤣🤣🤣🤣
Tufurahi tu, habari za kuulizana wapi sijui mkoa gani....kausheni🤣🤣
Uzi mfupi utakuwa wa jinsi ya kutoa mtu busha tutafanya kwa vitendo.... wale wakuzingua ke komenti naweza kuanza nao 🤣🤣🤣🤣🤣
#TufurahiTulifeisTooshort