mi ni mshabiki wa manchester!ilikuwa mechi kati man utd na chelsea!david luiz alitufunga bonge la goli mpaka japo umefungwa lakini unafurahia goli!je wewe siku gani timu yako ilifungwa goli zuri mpaka mwenyewe ukalipenda?
mkuu tukishindanishwa ushabiki wa man utd mimi nina uzito wa tyson wewe rashid matumla!lakini hilo halinifanyi niwe kipofu nisione mambo mazuri wanayoweza kufanya wapinzani wangu!goli lile la luiz kama unalikumbuka ni kali mno!