Siku uliyoanzisha Uzi jf ulijisikiaje??

Mimi kwakweli katika vitu ambavyo vimenipiga chenga sana ni kuandika uzi humu ndani,ila najitahid sana kuchangia nyuzi za watu kama nina hoja
 
Amna bhana njoo usiende huko wewe njoo
Hahaaa. Nimeishia njiani rafiki ila nimecheka "eti kwa usalama wangu" khaaaa.


[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Sitaki mie lol.
 
Ndo Tatizo La Kuanza Na Uzi Jukwaa La Intelligence,,mimi Nilianza MMU niliporomoka tu perpyuchi,migegedo n.k
 
Mim niko poa tu,

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Davey uje kunifungulia uku nataka nitete na hajar Mara moja
Poa mkuu ngoja nitafute funguo nilipoiweka

Davey = Davet
Hahaaa. Umeshasahau siku ile nikakuachia ufunguo wangu wa Pm. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahah!! Nilisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…