Siku uliyoanzisha Uzi jf ulijisikiaje??

Miaka hiyo freemasons ndo yamepamba moto tukawa na mjadala na walokole fulani walikuwa wanapita na vigazeti tuokoke kubishana nao ikabidi nianze na uzi wa Wajesuits Jukwaa la Dini/Iman!. Mtu wa kwanza kucomment alikuwa charminglady [emoji2] ingawa Mzee Mwanakijiji ndio alitoa points.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…