Tetesi: Siku upinzani ukishika nchi ulipize hujuma zote zinazofanywa na ccm isipokuwa kuwapiga risasi

Tetesi: Siku upinzani ukishika nchi ulipize hujuma zote zinazofanywa na ccm isipokuwa kuwapiga risasi

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Nimetafakari Sana namna ccm inavyohujumu upinzani inavyowafanya wapinzani kuwatesa kuwabambikia kesi kuwauwa nk

Natoa rai siku mkishika madaraka upinzani muwapimie ccm kipimo kilekile wanachowapimia nyie Leo isipokuwa tu msiwauwe hilo muachieni mungu

Hata hivyo mtakapowasulubisha mjiepushe kuwapatiliza wale ambao hawakuwafanyia ubaya mfano ccm ya JK mnaweza kuivumilia japo kuna watu ambao ni walewale wamo kwenye mfumo ila muwe selective ila ccm Hii ya jiwe walahi nyokeni nayo kwa vipimo vyote isipokuwa shingo zao tu mengine yote ni halali yao!!!!
 
Ccm ndio taasisi ya kisiasa Adui mno kwa ustawi wa Africa mashariki na afrika nzima kwa ujumla
 
Hahahaaaa! tumepokea ushauri wako tutauwasilisha kwa rAis mtarajiwa Lissu ataufanyia kazi akiingia madarakani 2020[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani utajikita kupeleka maendeleo kwa wananchi
 
Wanaweza kushika madaraka kweli hiyo siku ikifika maana ccm kama chama, hakitadumu milele. Muda wake wa kufa ukifika kitakufa tu au kudhoofu na kubakia kuchechemea kama ilivyo kwa chama cha KANU nchini Kenya.

Muhimu wapinzani wakubali kubadilika. mfano wamuandae Rais wao mwenye sifa mapema na si kusubiria yule anayechujwa ccm, kuungana pamoja na kutanguliza maslahi ya nchi badala ya vyama vyao pia ni jambo la muhimu. Kuachana na maisha ya kutegemea tu siasa ili kupunguza wachumia tumbo na wanasiasa vigeugeu, wapiganie mabadiliko ya katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, nk. Kinyume na hapo, itabakia tu kuwa ndoto tena ile ya mchana wapinzani kuja kuingoza hii nchi.
 
Back
Top Bottom