Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Kwa maisha tunayoishi jf ya ufahari mkubwa
Magari ya bei mbaya!

Majumba ya kifahari

Kazi nzuri nzuri

Mavazi ya kifahari
Jf hakuna aliyepanga chumba kimoja labda Nyumba nzima kodi 3 millions na zaidi

Hakuna anayekula kwa shida!

Kila mtu anatembea amekaa tena sio starlet!

Hakuna anayepata mshahara Wa chini ya laki 9!
Wote tumeajiriwa vitengo nyeti!
Au tuna mabusiness au makampuni cc husnathebossylady!

Hakuna anayeungaunga life!

Wote tuko mahandsome na mabeautifu
Tuna ngozi nyororo na sura za mvuto!

Mods naomba watusaidie kupanga get together party walau tukutane one day!
Na wamikoani nao waje dar! Au Wa dar waende mikoani
 
Labda wewe ndio unafake life..
Mbona JF ndio wa kwanza kulalamika vyuma vinakaza..
Mbona kuna wadau wanatoa story za nyumba za kupanga..
Kuna hadi madogo wanaomba notce za form 5...
Kuna watu wanatangaza kuuza kuku humu..

Usitake kuwasingizia wadau mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…