Siku Watu Wasiojulikana walipoharibu magari ya Mbowe huko Hai

Ole sabaya achomwe sindano ya sumu huko jela
 
Hao Watu walikuwa wanajulikana, Kichwa cha habari yako umekiandika ki CHAWA CHAWA, Majambazi ya Hai yote yanajulikana yalikuwa watu wa SABAYA.
 
Kwan katukana mzazi wake au mzazi wako??

... Kwa anayeshabikia uovu wa sabaya au ule wa dictator JPM the devil ni heri mzazi wake angelipiga hilo bao ndani ya kondomu au kulipiga hilo bao through masterbation huko chooni kuliko kumzaa huyo shetani
Hakuna anayeshabikia, nilichouliza mimi ni kwani moshi hakuna gereji mpaka wapeleke arusha?
Sasa hapo kosa liko wapi?
 
Anayekanusha hili aje na facts
 
1. Aliharibu mfumo wa ajira kwa kuingilia mzunguko wa hela

2. Alifilisi mifuko ya hifadhi ya Jamii kwaajili ya miradi yake ambayo kwa sasa sehemu kubwa ni white elephants Projects.

3. Aliikataa chanjo ya covid, Ndugu zetu wengi walipotea kwa sababu ya mshamba mmoja

4. Alikuza ukabila na ukanda kwa kujaza kabila lake serikalini

5. Alikuwa katili na mpenda dhulma huku akijinasibu kuwa mpenz wa Mungu!

Lakini ukuu na uwezo wa Mungu wetu ulianza kujidhihirisha tangu enzi za safari ya Waebranina kutoka Misri kuelekea kanaani. Glory be to our God, the most high.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…