Siku WEUSI na FID Q wakibadilika basi ndio itakuwa mwisho wa Hip hop ya bongo

Wew sio follower wa hiphop mana hata wasanii wa hiphop bongo huwajui
 
hapana sio kweli, nakupinga mleta mada...! mana hata wakat joh or fid wanaingia kwa game kuna wakongwe walikua ndo wanakufa kimuziki bt we didnt even thought kwamb hawa wakina joh wangefika hapa.! honestly naamini uwepo wa hao watu kweny game ndo unafanya upcoming weng washindwe toboa. wenzetu wabana pua wanapigana tafu kishenzi lakn huku wakina stamina wanataka tujiinue wenyewe bila sapot yao.! thats hiphop hainogi wala haina challange bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…