Oooh dear me !!! Tazama kadi yako ya uja uzito ! Ulitakiwa kuhudhuria kilinik ya baada ya kujifungu katika siku ya 7 na 28 ili kukaguliwa pamoja na mabo yoote ni kurejea kwa mji wa mimba katika pango la nyonga, na kupotea kwa damu ya kujifungua , hali ya matiti, joto la mwili na unyonyeshaji . Kwa hakikika iwapo mpaka leo Huo "UCHAFU" Kama unatoka nakushauri uende kituo/hospitali yoyote unayoweza kuifikia ili ukaguliwae na kupata huduma inayostahili ili ukaguliwe aina ya huo uchafu na mambo mengine yanayompasa mama aliye jifungua please NENDA