secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Sasa si wameshasoma machawa walioko humuWakuu, nipende kuwatangazia kuwa siku ya tarehe 9 ya mwezi wa 9 (9/9), kutakuwa na maandamano makubwa Tanzania nzima.
Maandamano haya yatakuwa yakushtukiza, yaani Kila mtanzania ataweka hii tarehe akilini mwake, halafu ghafla siku hiyo ikiwadia kila mtu atakuwa road!
Hii haihitaji kuhamasisahana sana ili maadui wasijipange 😎.
Kila mtu anatakiwa apewe taarifa mara moja tu. Hata kama machawa watakuwa wamesoma watayadharau wasipoona watu wakihamasishana.Sasa si wameshasoma machawa walioko humu
Hakika.Hii imeenda maandamano yamefanikiwa Leo kwa 100% kitondo tu Cha kariakoo na sabasaba kuwa kimya ni ushindi mkubwa mno kwa waandamanaji
Mudoma umetuponza. Hayo ya tarehe 9 mwezi wa 9 hatatakuwa na makelele mengi.Leo vipi watu wame postopnd?
Mudoma umetuponza. Hayo ya tarehe 9 mwezi wa 9 hatatakuwa na makelele mengi.
Kimya kimya tu!
Wameshaharibu! Walioyatayatangaza ya leo hawana akili.Aisee muda bado upo beba bango uingie road
Well said! Wazo zuri kabisa kuwahi kutokea 😎.Kumeanza kuchangamka. Ningependekeza yafanyike 29~10 itapendeza zaidi
Hayo yote tutayafanyia kazi, ndiyo maana tumepeleka mbele tarehe rasmi ya maandamano tajwa (9/9).Tatizo kubwa la haya maandamano ni kukosa mkakati, watu watatoka barabarani sawa then what?
Ombi gani la kuwasilishwa na lina wasilishwa kwa kufanya mazungumzo na nani?
Kina nani hasa wanaweza kuwa ndiyo viongozi wa hayo maandamano huko road kwa kila mkoa ukiachana na hawa kina Hilda wanao hamasisha wakiwa mtandaoni tu?
bila shaka umemaanisha 8/8.Wakuu, nipende kuwatangazia kuwa siku ya tarehe 9 ya mwezi wa 9 (9/9), kutakuwa na maandamano makubwa Tanzania nzima.
Maandamano haya yatakuwa yakushtukiza, yaani Kila mtanzania ataweka hii tarehe akilini mwake, halafu ghafla siku hiyo ikiwadia kila mtu atakuwa road!
Hii haihitaji kuhamasisahana sana ili maadui wasijipange 😎.
Wameshaharibu! Walioyatayatangaza ya leo hawana akili.
Hapana. Ni 9/9, nane nane iko karibu sana kiasi kwamba itakuwa vigumu kupanga mikakati imara.bila shaka umemaanisha 8/8.
Kabisa yaani.Utoto raha