Siku ya 9/9 kutakuwa na maandamano makubwa sana ya kushtukiza

Mimi sio mwana CCM

Ila nasema maandamo yoyote yasio na agenda wala viongozi hayo sio maandamano ni kutoana chambo

Mtu anasema tar fulani toka njee mfaate mwenzio

Sawa natoka namfata haya tunaenda wapi ?

Kufanya nini?

Wewe unaesema tutoke upo wapi twende wote?
 
Kama kiongozi humjui wewe kaa ndani usitoke maana yakakuwa hakuhusu
 
Sahihi kabisa naweza kusema wanaharakati bado hawajafahamu tofauti ya watu kukutana na kukusanyika barabarani na watu kukutana barabarani kwa ajili ya kudai kitu/jambo fulani.
 
Hii imeenda maandamano yamefanikiwa Leo kwa 100% kitondo tu Cha kariakoo na sabasaba kuwa kimya ni ushindi mkubwa mno kwa waandamanaji
Kwa namna hii tutachelewa sana kupata ukombozi , kabla ya maandamano keyboard warriors mlitishia sana Jf baada ya kufeli mnaibua malengo mengine ambayo hayakuwepo mwanzo . Sasa serikali inajali mambo ya hasara ?

Hasara ya Leo inamuAffect directly mwananchi wa kawaida mwenye biashara zake Kariakoo Mafwele na gang lake na viongozi wanapata posho kama kawaida
 
Mimi nataka sana ukombozi ila harakati zao hazina mikakati, mbinu wala kutumia akili siwezi kuunga mkono . Haraki haziko organized and backup plans watu wanakurupuka tu kama wapiga nyetoh kwangu Mimi hapana ..
 
9/9 wala usipange kukosekana kwa road. Utashuhudia mengi ya kufurahisha.
 
Mimi nataka sana ukombozi ila harakati zao hazina mikakati, mbinu wala kutumia akili siwezi kuunga mkono . Haraki haziko organized and backup plans watu wanakurupuka tu kama wapiga nyetoh kwangu Mimi hapana ..
Ni mtu mjinga tu na asiye jitambua ndiye anayeweza kuunga mkono kile kinacho hamasishwa na hao wanaharakati uchwala.
 
Maandamano ya kushtukiza halafu usha sema 9/9 au neno kushtukiza siku hizi lina maana nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…