Siku ya 9/9 kutakuwa na maandamano makubwa sana ya kushtukiza

Tunaanz 8/8 mkuu.
 
Naona Tanganyika ishakaa mkao wa doria na maandamano ya vyombo vya ulinzi!
Hatua inayofuatia ni vikosi vya uasi na kujitoa muhanga!
Sudan, Somalia, DR Congo, Mozambique, Nigeria n.k walianza hivi hivi!
 
Hii imeenda maandamano yamefanikiwa Leo kwa 100% kitendo tu Cha kariakoo na sabasaba kuwa kimya ni ushindi mkubwa mno kwa waandamanaji
Akili zipo , HASARA HIYO ITABEBWA NA WEWE NA MIMI labda usiwe nchini kama SARUNGI na MANGE
 
Yani nyie mnapanga izo tarehe kama ndo tarehe zenu za kuingia bleed aisee baada ya mimba kutoka..
Mshaambiwa nendeni muda wowote..
 
Maandamano ya kushtukiza halafu usha sema 9/9 au neno kushtukiza siku hizi lina maana nyingine.
Hapa katikati tunatulia kwanza ili wasjisahau halafu siku ya tarehe 9 mwezi wa 9 tunatoka ghafla.
 
Naona Tanganyika ishakaa mkao wa doria na maandamano ya vyombo vya ulinzi!
Hatua inayofuatia ni vikosi vya uasi na kujitoa muhanga!
Sudan, Somalia, DR Congo, Mozambique, Nigeria n.k walianza hivi hivi!
Watu sasa hivi wameshaanza kuamini kuwa serikali inatishika kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…