dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,466 Reaction score 18,206 Nov 23, 2022 #41 Matola said: Ushindi kwa Simba leo ni either 1-1 au 0-0. Save hii comment for future reference ndio utajuwa kuna watu tupo mbele ya muda. Click to expand... Mkuu kudoss sanaaa na kweli imekuwa Matola Simba kwishnei
Matola said: Ushindi kwa Simba leo ni either 1-1 au 0-0. Save hii comment for future reference ndio utajuwa kuna watu tupo mbele ya muda. Click to expand... Mkuu kudoss sanaaa na kweli imekuwa Matola Simba kwishnei
dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,466 Reaction score 18,206 Nov 23, 2022 #42 Ahmad Abdurahman said: Nadhani hukunielewa. Maana angu ni kwamba atakua kanyosha mikono juu kwamba sasa kombe linaenda (linarudi/linabaki) jangwani. Mbio za ubingwa haziwezi tena. Click to expand... Sawaaa mkuuu
Ahmad Abdurahman said: Nadhani hukunielewa. Maana angu ni kwamba atakua kanyosha mikono juu kwamba sasa kombe linaenda (linarudi/linabaki) jangwani. Mbio za ubingwa haziwezi tena. Click to expand... Sawaaa mkuuu
KAGAMEE JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 4,457 Reaction score 5,454 Nov 23, 2022 #43 dr namugari said: Aloo umetabidi haswa Click to expand... Game nilijua kabsa hawez