Siku ya Choo

GP

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
2,049
Reaction score
161
leo wapwa na mabinamu na siku ya choo duniani.
je, nyumba yako ina choo?
je choo chako kisafi?
unatumia maji ch.ooni?
ukitoka ch.ooni unajiswafi vya kutosha?

weka choo chako safi ili ujiepushe na magonjwa haswa kipindupindu
na mengine yaenezwayo na uchafu.
sikukuu njema!.
 
Yaani wazungu wanabuni vitu vya
kutu dhalilisha...na sisi tunasherehekea...
Its so stupid...
 
Siku ya choo? Mpwa unaelekea kubaya!
 
Inawezekana kile choo cha waimba taarabu..
Wenyewe wanasema raha ya nyumba choo.
 
Siku ya choo? Mpwa unaelekea kubaya!

hahahahaaaaa, choo cha kujisaidia mpwa!, whether ni cha kukaa au kuchuchumaa au cha shimo, lakini ni choo cha kujisaidia.
 
gp ni msikilizaji mzuri sana wa power-breakfast ya clauzi efuemu!safi...na umekula senksi yako kule
 
gp ni msikilizaji mzuri sana wa power-breakfast ya clauzi efuemu!safi...na umekula senksi yako kule

sanaaaaa mkuu, si unajua leo kijifoleni asubuhi??, basi hakuna cha kufanya zaidi ya kusikiliza wale jamaa, mi nawafagilia mbayaaaa.
Uliwasikia jana wakati wanammaindi mshikaji kawatosa samaki?, basi yule b... Akatoa menu ya mh. Jpm ya wiki nzima, duh nomaaaa, leo mshakaji according to ile ratiba anakula pilau la jodari, balaaaa (sore-off-topic!!)
 
Yaani wazungu wanabuni vitu vya
kutu dhalilisha...na sisi tunasherehekea...
Its so stupid...

wanawadhalilishaje?sijakuelewa mkuu,mie niko Lindi kwenye maadhimisho ya World Toilet Day...na hii ilipitishwa na baraza kuu la umoja wa mataifa na inasheherekewa duniani kote..sasa huuko kudhalilishwa kwako ni kupi
 
usafi muhimu wakuu, mpaka jana jijini Dar watu 2 waliripotiwa KUFA kwa kipindupindu.
 
Yaani wazungu wanabuni vitu vya
kutu dhalilisha...na sisi tunasherehekea...
Its so stupid...

nadiriki kutofautiana na wewe, kwenye siku hii watu wanakumbushwa umuhimu wa kutumia 'choo'. Hii kitu boss bado msamiati, utake usitake.

naomba nisamehewe kwa kusahau idadi kamili ya watu wasiotumia/kutokuwa na vyoo ilioyotolewa na wizara ya afya tena kwa DSM tu! Aibu!!!

Kigogo tuambie huko lindi hali ikoje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…