Siku ya Demokrasia Duniani: Mataifa yatakiwa kuheshimu Uhuru wa Kujieleza

Siku ya Demokrasia Duniani: Mataifa yatakiwa kuheshimu Uhuru wa Kujieleza

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa kila Septemba 15, ikitoa fursa ya kuangalia hali ya Demokrasia ulimwenguni kote. Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni kuheshimu HakiBinadamu.

Umoja wa Mataifa (UN) umesisitiza Nchi kuheshimu na kulinda Uhuru Wa Kujieleza, Uhuru wa Habari pamoja na Haki nyingine.

Wakati huu ambapo Nchi zinapambana na janga la COVID19, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres amezitaka Serikali kuwa na Uwazi na kuwajibika katika namna wanavyoshughulikia janga hilo.
===

The International Day of Democracy provides an opportunity to review the state of democracy in the world. Democracy is as much a process as a goal, and only with the full participation of and support by the international community, national governing bodies, civil society and individuals, can the ideal of democracy be made into a reality to be enjoyed by everyone, everywhere.

Zaidi > International Day of Democracy | United Nations
 
Back
Top Bottom