Habarini wana JF.
Kuna mtu anayefahamu maadhimisho ya Siku ya Figo duniani yatafanyika katika Mkoa upi na Hospitali ipi kwa mwaka huu?
Kwa mwaka Jana kwa pale Arusha waliiadhimisha katika Hospitali ya AICC na kulikuwapo na huduma ya upimaji Figo kwa waliohudhuria..