NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
Hahahahaha wanaume wa mikoani kwa kufikiria papuchi hatareeeZimewapatia mabinti wengi sana mimba, especially wanafunzi!
Mnaojiita wa mjini ni kipi mnacho distinguished?Hahahahaha wanaume wa mikoani kwa kufikiria papuchi hatareee
Kila kiingiacho mjini ndio humalizia kijijini.Mnaojiita wa mjini ni kipi mnacho distinguished?
Too much of any thing is harmful, kwani hao Clouds wamekwambia ule chips kila siku asubuhi mchana na jioni?clouds kwa kweli ubunifu huu hata mimi cjauelewa maana ki afya chips yai c nzuri
Kila kiingiacho mjini ndio humalizia kijijini.
1 Ofisi za serekali zipo mjini
2 Biashara zote zipo mjini
3 Ukombozi umeanzia na kupatikana mjini
4 Ikulu ipo mjini
5 Usafiri lazima uanzie mjini
Vijijini tunataka mbatata,kuku wenu tu ili tupate chipsi mayai na kuku
nimeshangaa sana kwamba siku ya chips mayai?? yaan huku chips mayai huwezi ukala halaf ukasema nimekula msosi , kwanza ni chakula cha wanawake
Mji kasoro bahari mkuu!Mkubwa, huko wapi?
6.miguu ya kuku na utumbo vipo mjiniKila kiingiacho mjini ndio humalizia kijijini.
1 Ofisi za serekali zipo mjini
2 Biashara zote zipo mjini
3 Ukombozi umeanzia na kupatikana mjini
4 Ikulu ipo mjini
5 Usafiri lazima uanzie mjini
Vijijini tunataka mbatata,kuku wenu tu ili tupate chipsi mayai na kuku