HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
kwani waume/wapenzi wao hawatoshi kuwashikaDuuuuh,,,,,,msituponze tukaishia jela
Kweli kulimwa miaka 30 kwa kushika matiti tu, ni uzembe! Bora anayekula kabisa anakuwa kafaidi kiasi.Duuuuh,,,,,,msituponze tukaishia jela
daah jamaa kafaidi hatari mwee,na jela hajaenda,huku manyonyo meusiii na miaka 30 bado inakuhusu wakati waliotuletea hizo sheria wanakula tu upepo,africa my dark continent!Wengine wameanza
Imeanzishwa na nani siku hii?Jamani leo ni siku ya kushika matiti ya wanawake duniani "World Breast Touching Day". Hii ni ili kuwasaidia kinamama wasipate kansa ya matiti. Ikitokea umepatiwa huduma hiyo na yeyote usilete vita,hiyo ni kujali na kuonyesha upendo na ushirikiano wa hali ya juu kwa wanawake. Achia titi lishikwe kujiokoa na vinyemelezi vya kansa. Wasaidie akina mama na wadada walioko karibu yako kwa kuwashika matiti yao. Ubarikiwe sana