figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Siku ya kwanza kukutana naye huyo dada, unakuta kavunja kabati kuanzia juu mpaka chini,kajiupala usoni, kucha kapaka rangi tofauti tofauti,kila saa anajiangalia kwenye kioo chenye vidude fulani vya rangi tofauti viko kama pouda hivi na kujipaka ambavyo kaja navyo kwenye pochi.halafu mda wote yeye ni kuchat tu vidole havipumziki.watu wakimpigia simu anawadanganya live sehemu alipo.mala nipo nyumbani,kwa rafiki yangu,sikusikii nk.akikata simu anajifanya kuwasonya. kwangu huyu hana sifa. wewe je?mia
Hii imenikumbusha ya msichana mmoja hivi aliyekuwa anatoka na rafiki yangu.
Kumbe huyo msichana bana alikuwa na mchumba wake. Sasa siku ambazo alikuwa anakwenda kwa rafiki yangu, ikitokea yule mchumba wake akampigia simu, msichana anamwambia rafiki yangu akae kimya hadi atakapomaliza kuongea na huyo mchumba wake. Demu alikuwa anamdanganya sana huyo mchumba wake. Ooh sijui nipo kwa Kojo...mara nipo Nana...mara nipo hapa kwa Fumi. Kumbe yote hayo uongo tu. Demu yupo kwa njemba anamegwa.
Demu alikuwa anaona ujanja kumfanyia hivyo mchumba wake. Ila kwa jinsi jamaa yangu alivyokuwa na akili ya maisha, tayari alishahitimisha kwamba huyo demu ni hasara tu. Hafai hata kidogo.
Baada ya kumdinya dinya mshikaji akamfungia vioo. Sasa sijui ilikuwaje na huyo mchumba wake. Kama jamaa alimuoa basi aliula wa chuya.
kwani amekuja kufanya nini?
Nimekukosa! Mia
huyu ndiye mzuri anajua kabisa kuwa yeye ni mfanyabiashara kwahiyo hapo mnaongea biashara tu,usipende sehemu kama hiyo utaomba ardhi ipasuke.Nalog off
Hii imenikumbusha ya msichana mmoja hivi aliyekuwa anatoka na rafiki yangu.
Kumbe huyo msichana bana alikuwa na mchumba wake. Sasa siku ambazo alikuwa anakwenda kwa rafiki yangu, ikitokea yule mchumba wake akampigia simu, msichana anamwambia rafiki yangu akae kimya hadi atakapomaliza kuongea na huyo mchumba wake. Demu alikuwa anamdanganya sana huyo mchumba wake. Ooh sijui nipo kwa Kojo...mara nipo Nana..
kichwa cha habari kimenihadaa,nilijua mtukula ni lichupi likubwa kubwa....
kichwa cha habari kimenihadaa,nilijua mtukula ni lichupi likubwa kubwa....
Ha ha ha, mie ndo sijaelewa kichwa cha habari na habari yenyewe vinahusiana nini?
Mtukula nilidhani kaniki
Kuna dada kwenye tangazo la Uswazi EATV ansema mie naitwa anti ______ nimevaaa jeferoo sasa wadau jeferoo ndo nini?
Kuna dada kwenye tangazo la Uswazi EATV ansema mie naitwa anti ______ nimevaaa jeferoo sasa wadau jeferoo ndo nini?
anasema chini kavaa silipazi kanunua jefero--jero--mia tano na pale ni ungalimited a-town..
mkuu mi jefaroo najua ni nguo za rangi ya chui.sijui kwa wengine.mia