Siku ya kwanza kufanya kazi ya Saidia Fundi

Shughuli zangu hizi za kila siku na uzee huu bado napiga kazi.
 
Nishawahi pigaga hiyo kitu Ina show Kali balaaa
 
Aisee vp kiuno hiko hakuna kazi tenaaa😅😅😅
Nimesanda saa 6 mchana jua kali! Mzee sio poa kumbe ilikuwa kontena watu watatu. Alafu ujinga wa mzigo unavyoanza unaona mwepesi kadri unavyosonga muda ndo unaona uzito unaongezeka na wewe ndo unachoka. Jamaa wanalipa kwa wiki. Ingekuwa dei ningekomaa wanilipe jioni, ila nimeona mziki huu wiki nzima sitoboi
 
Kishaumana 🤣🤣🤣🤣

Mimi ilikuwaga kujenga msingi wa mawe dadekii nilipiga siku tatu tu 🏋️🏋️🏋️🏃🏃🏃🏃🏃🏃🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…