Siku ya kwanza kufanya mapenzi nili-sex na wanawake wawili

Ukiandika novel itakuwa Bombay sana

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtu anafanya mapenzi siku ya Kwanza, hawezi kuwa expert na confident kiasi hicho, hio ni normal rule of sexual life kwa wanaume wote
Naweza kusema bila kumung'unya maneno kuwa hii story ni ya ubunifu tu ili kukonga mioyo yetu
 
Yaaani gari limearibika nyakanazi vifaa vikafwatwe tena kibondo badala ya Kahama karibu yaaani atumie zaidi ya 20 badala ya kutumia saa moja na nusu? Hii mku kama chai vile
 
Ihungo na !! Nyakato sec. ulifika weye, yule dada alikuwa hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…