Siku ya kwanza kufungua Biashara ilikuwaje?

KingPower

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
1,115
Reaction score
1,807
Wakuu habari poleni na majukumu!

Twende moja Kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu. Je, siku yako ya Kwanza kwenye biashara ilikuaje? Changamoto gani ulipitia?

Kwa upande wangu jana ilikua siku yangu ya Kwanza. Nilichokiuza [emoji28][emoji119] lakini bado nina imani napo sana, maana hii ni biashara mpya

Asante.
 
Siku ya Kwanza alikuja Dada mmoja ana biashara kama yangu jirani Kama mita 100(sikua najua nilikuja kujua baadae) hata hakusalimia, alifika na kusema nimekuja kukopa kama haiwezekani naenda zangu jiuzie mwenyewe huyo akajiondokea zake.Nikajisemea kazi ipo nikabaki nashangaa.
 
Ila kuna watu majeuri🤣🤣
 
Walikuja kuchunguza hao
Ila hyo ni tabia ya miswahili sana, vema ulivyowapotezea
Na bado hakuishia hapo akaanza maneno yakafika hadi kwa mzee mwenye mjengo kuwa namharibia biashara, mimi kimyaaaa 😅
Baadae akaanza kujileta na kujichekesha akiishiwa bidhaa anafuata kwangu.
Mwanzo n mgumu ukiwa huna uvumilivu unaweza funga biashara.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]
 
Noma sna
 
Ukisikia wanga wa mchana ndio hawa. Alikuja pale kuku-frustrate 🥴🤒😁
 
Nakumbuka pale mwanzoni kwa kufanya biashara jirani yangu mwenye biashara kama yangu alikuwa anauza vitu kwa bei ya jumla badala ya bei ya rejareja.... Ili watu wakija huku waone vitu bei ghali wote wahamie kule kwake... Ilinusumbua sana🤪🥴

Ila uliza sasa hivi.... cha msingi kuwa na focus na usikate tamaa. Ila pia ushirikina una mwisho mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…