holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
Tushasikia siku ya kwanza kupanda gari,kupanda ndege,kufnya mapenz n.k watu wakatoa hisia zao ikiwemo na viroja walivyokutana navyo siku hyo
Je siku yako ya kwanza ku cheat katika mahusiano ya kimapenz na kijamii ulijisikiaje uliona ni kawaida ama ulijisikia kukosa!?
Je siku yako ya kwanza ku cheat katika mahusiano ya kimapenz na kijamii ulijisikiaje uliona ni kawaida ama ulijisikia kukosa!?