Siku ya kwanza niliponunua gari

Hilo gari la kike ndio likoje, binafsi sikumbuki ilikuwaje manake ni muda kidogo umepita
 
Umeweka chumvi nyingi sana kwenye story yako but story ni nzuri.

Wakati gari limezima kwa sababu ya betri, uliwezaje kulipeleka kwa Mwarabu akalitengeneza ukarudi nalo nyumbani?
 
Sijui itakuwaje?..........kwa sababu hela ya kula inanitoa kamasi..........................!!!
 
Umeweka chumvi nyingi sana kwenye story yako but story ni nzuri.

Wakati gari limezima kwa sababu ya betri, uliwezaje kulipeleka kwa Mwarabu akalitengeneza ukarudi nalo nyumbani?

Ni pikipiki mkuu. aliikokota mpaka kwa mwarabu kariakoo. Kwa uandishi huu mwandishi hana hadhi ya kununua gari achilia mbali kuliendesha.
 
Songíto;10066474 said:
Hii imetulia... mi niliamua tu kuitest kwa kwenda moro na kurudi...

yako ni kali sanaa.. nimecheka had nimeungua na chai aisee
 
Umeweka chumvi nyingi sana kwenye story yako but story ni nzuri.

Wakati gari limezima kwa sababu ya betri, uliwezaje kulipeleka kwa Mwarabu akalitengeneza ukarudi nalo nyumbani?

hapo alitupia chumvi hadi akasahau alichokiandika kabla.
 
aisee polen wenye magari
 
Story za magari zinafurahisha sana! Du umenikumbusha mbali sana, nitasimulia siku nyingine!
 
hahahahahahahaha kweye gari la kike hapo mbavu sina
 
Day one kumiliki gari kila mtu atakuwa na story yake. Ukiacha mengine mi nakumbuka mwenye nyumba wangu at that time aliekuwa kijana mwenzangu mwenye majidai na majisifu sana, mzee saa moja jioni napiga honi na GX 100 mind u ni 2007, jamaa alilowaje? Kesho yake akaniambia nitafute mlinzi after 2 months akadouble kodi, nikaona isiwe tabu nikaweka mlango wa mbele na wa nyuma, plaster, floor, umeme nk vitanikutia humo humo. Kiukweli gari yangu ya kwanza ukiacha ushamba wa kawaida ilinipa changamoto na kulazimika kuhamia nyumba ambayo b4 nilifikiri ningehamia labda after 2 yrs. Incomplete kabisaa@
 
mi kwa lile wenge tu..... niliendesha bila kutoa handbreak....
 
Umeweka chumvi nyingi sana kwenye story yako but story ni nzuri.

Wakati gari limezima kwa sababu ya betri, uliwezaje kulipeleka kwa Mwarabu akalitengeneza ukarudi nalo nyumbani?

njia ya mwongo ni fupi asee...
 
Umeweka chumvi nyingi sana kwenye story yako but story ni nzuri.

Wakati gari limezima kwa sababu ya betri, uliwezaje kulipeleka kwa Mwarabu akalitengeneza ukarudi nalo nyumbani?
Hili wazo nami limenisumbua, yaani kipande hicho cha story kimenifanya nisiiamini tena hii story.
 
Siku yng ya kwanza mimi nililipark dirishani, kila muda nanyanyuka kitandani nalichungulia lipo? nililiweka alarm na multilock system, kila nilipokwenda nahakikisha ntapolipark naliona. Muda mwingine nilitamani kuliamkia 'shkamoo gari'.
 
Siku akiweka mtu uzi kuielezea siku aliyonunua kitanda mniite
 
Gari zenyewe nilinunua used;
Kulaza kontena kila siku buku mbili;

Looh mkiamua leo mtatoka na hii na kesho ingine, mmmh,

Mwaka mzima sikufanya chochote cha maendeleo;
Nilipozinduka tu nikawaachia vijana sitaki hata kusikia
kitu kinaitwa gari kwa sasa.

Kwa miaka miwili niliyozira magari nimeshafanya mambo ya maendeleo
hadi mimi najishangaa mwenyewe.

Magari kama huna kipato cha kuyaendesha umeumia.
 
Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu! Hii hadithi ni ya Shigongo kuna mahali umechapia Mkuu! Gari ilinyonywa ukiwa nyumbani sasa kwa MWARABU uliendaje kama ilikuwa haiwaki? Eti MWARABU akakusaidia gari ikawaka! Ina maana ulivyoenda ulikuwa unalisukuma?
 
Hahaha heri yangu mie bado sijanunua hilo gari!! Ila nikija kulinunua majirani na wapita njia watanikoma maana watalikoga vumbi mpaka mapafu yabadilike rangi!! Bila kusahau kuwaogesha maji ya dimbwini wapita nijia!! SIPATI PICHA YAANI!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…