Siku ya kwanza ulivoanza kukatwa marejesho kwenye mshahara wako ulijiskiaje?

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2022
Posts
2,176
Reaction score
4,979
Wale waliokopa kupitia mshahara siku ya kwanza ulivoanza kukatwa marejesho kwenye mshahara wako ulijiskiaje...funguka
 
Hela ya mkopo Ina mapepo mkuu haijalishi uwe na riba au lah ila kuuchukua ni tamu kurejesha ndio msala.Mimi Kuna mtandao nlikopa 10k wakasema nrejeshe 14k,ila ni mwezi wa Tano deni halijaisha Kila siku zinavyozidi deni linaongezeka sijui nivunje laini?
 
10k!!!??
 
Pole Mkuu
 
Tafuta danga likulipie.
 
Aah Mimi nilijihisi maruweruwe, pia iliniuma Sana uo ulikua mkopo wangu wa kwanza na nilikuwa naogopa Sana mikopo

Ila mkopo wangu wa pili, I take it easy !,
 
Same here Mkuu roho inaniuma ndo first time nakopa
 
Back
Top Bottom