Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Tupo kujifunza Mkuu tunajifunza Kwa wengine piaYaani ukope mwenyewe halafu upate stress tena🤣🤣
Wapi mbele au nyuma?TUNAPIGWA!!!
10k!!!??Hela ya mkopo Ina mapepo mkuu haijalishi uwe na riba au lah ila kuuchukua ni tamu kurejesha ndio msala.Mimi Kuna mtandao nlikopa 10k wakasema nrejeshe 14k,ila ni mwezi wa Tano deni halijaisha Kila siku zinavyozidi deni linaongezeka sijui nivunje laini?
Pole MkuuHela ya mkopo Ina mapepo mkuu haijalishi uwe na riba au lah ila kuuchukua ni tamu kurejesha ndio msala.Mimi Kuna mtandao nlikopa 10k wakasema nrejeshe 14k,ila ni mwezi wa Tano deni halijaisha Kila siku zinavyozidi deni linaongezeka sijui nivunje laini?
Tafuta danga likulipie.Hela ya mkopo Ina mapepo mkuu haijalishi uwe na riba au lah ila kuuchukua ni tamu kurejesha ndio msala.Mimi Kuna mtandao nlikopa 10k wakasema nrejeshe 14k,ila ni mwezi wa Tano deni halijaisha Kila siku zinavyozidi deni linaongezeka sijui nivunje laini?
Kukopa harusi kulipa matangaWacha umama...!!
Kopa lipa
Same here Mkuu roho inaniuma ndo first time nakopaAah Mimi nilijihisi maruweruwe, pia iliniuma Sana uo ulikua mkopo wangu wa kwanza na nilikuwa naogopa Sana mikopo
Ila mkopo wangu wa pili, I take it easy !,
Bado hujasema, ukute na salary yako ni mungu saidia alooo, utaiona dunia chungu...!Same here Mkuu roho inaniuma ndo first time nakopa
Hahahahaha walimu wanasukumiwaga lawama kumbeni wafanyakazi wote kuteseka ndo lengo muhimuKina ndege JOHN mnaitwa uku[emoji4]
Kotekote mkuu.Wapi mbele au nyuma?