Siku ya kwanza ya Maulid Kitenge, Edo Kumwembe, Binti Suleiman, Yusuf Mkule na Ahmed Abdalah ndani ya Sports Arena

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Nini tathimini yako kwa wale walioskiliza kipindi kuna chemistry au ndio full mauza uza tu?
 
Teh teh teh, jana magazeti alisoma mh Makonda, sijui wanatest mitambo!
Nasikiliza kipindi cha michezo hapa wasafi ,hakileti ladha kwa sababu unakuwa kama unasikiliza EFM tu kwa 100%, na ukirudi efm unakuta watangazaji uliowazoea. Kwa hiyo ni kama vipindi pacha.
 
Alipewa gazeti la The Citizen la Kenya asome vichwa vya habari, kwanza hata hajui gazeti lenyewe ni la wapi iliyofuata nimichapio kwenda mbele. Lakini nachompendea yule dada ana confidence sijui anaitoa wapi! Ni kauzu hasa
sometime she is a comedian
 
Alipewa gazeti la The Citizen la Kenya asome vichwa vya habari, kwanza hata hajui gazeti lenyewe ni la wapi iliyofuata nimichapio kwenda mbele. Lakini nachompendea yule dada ana confidence sijui anaitoa wapi! Ni kauzu hasa
Anavutaga bhange
 
Kitenge mwenyewe kwenye magazeti amepoa kweli,kule e fm ilikuwa amsha amsha sana na kina Musa Kipanya huku Hando akimchochea in short Wasafi kumepoa kwenye magazeti
 
Kitenge mwenyewe kwenye magazeti amepoa kweli,kule e fm ilikuwa amsha amsha sana na kina Musa Kipanya huku Hando akimchochea in short Wasafi kumepoa kwenye magazeti
wapo vizur mm sijaona kasoro wala jipya lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…