SIKU YA KWANZA.

SIKU YA KWANZA.

Siku ya kwanza kuangalia TV ilikuwa mwaka 1999 pale kijiji kwetu ilikuwa ni hotuba ya Hayati Mwl J.K Nyerere Tulikaguliwa mlangoni kabla ya kuingia tusije ingia na mawe/vyuma.
Hahahhahah Daah Noma Saana !!
 
SIKU YA KWANZA kuvuta bhangi ilikuwa 2003, baada ya kuvuta nilicheka sana.
 
Siku ya kwanza kuangalia TV ilikuwa mwaka 1999 pale kijiji kwetu ilikuwa ni hotuba ya Hayati Mwl J.K Nyerere Tulikaguliwa mlangoni kabla ya kuingia tusije ingia na mawe/vyuma.
hamkukaguliwa kama mmeoga kweli?!! maana mnaweza chafua sakafu ya mjumbe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom