Sasa kama mmekubaliana mmuibenjue sasa unavunjaje hapo amri ya sita wakati mmekubaliana?
Ewaaaa! Naona unajenga hoja taratibu taratibu...........:nono:hommie kwa hiyo hawakuspecify kama uzini na mtu wa jinsia gani?
hommie kwa hiyo hawakuspecify kama uzini na mtu wa jinsia gani?
Fide mmekubaliana nyie wawili lakini siyo na Mungu
Mkikubalina wewe na Kaizer kwenda kuiba hilo haliwatoi kwenye kosa la kuvunja sheria ya Jamuhuri hii...sijui umenielewa?
Fide mmekubaliana nyie wawili lakini siyo na Mungu
Mkikubalina wewe na Kaizer kwenda kuiba hilo haliwatoi kwenye kosa la kuvunja sheria ya Jamuhuri hii...sijui umenielewa?
Kaizer na Fidel wakikubaliana, siyo? Mi simo hapo........
Yaani ndo maana huwa nachanganyikiwa hapo hapo tu.
Mungu utamwona wapi akuruhusu umege? na je ukisali kabla ya kumega napo umevunja amri ya 6? hizi sheria za Mungu jamani.
sasa hapo wakati Musa anakabidhiwa hizo amri sijui kama mambo ya 'kusodomize' yalikuwepo
nadhani hizi amri za Mungu pia zinahitaki kufanyiwa 'amendment from time to time' lol !!!
sasa hapo wakati Musa anakabidhiwa hizo amri sijui kama mambo ya 'kusodomize' yalikuwepo
nadhani hizi amri za Mungu pia zinahitaki kufanyiwa 'amendment from time to time' lol !!!
Hapana dada yangu, mungu ni yuleyule jana, leo na hata milele, yeye ni ALFA na OMEGA, Mwanzo na Mwisho, watoto wa Kitaa wanasema mwanzo-mwisho. Sheria zake ni za milele, kwa maana hakuna jipya chini ya JUA, unakumbuka SODOMA NA GOMORA? Ilikuwa wakati wa Ibrahim, Yaani kabla ya Mussa na niyo chanzo cha hilo neno hapo juu( nyekundu), Huo mji ni kielelezo cha hiyo dhambi hapo juu, Biblia inasema mwana wa Adam atakaporudi watu watakuwa wakiendelea na maisha yao, kuoana ( kama jinsi moja sijui), wakinywa na kusherekea naye atakuja kama mwivi usiku.
Sheria za Mungu zinatosha kama alivyo yeye mwenyewe.
...unapoanza kuoga tu na kujiandaa kwa ajili ya hiyo appointment,mambo yanaanza kuwa juu mitaa fulani.Mmmmh! Mimi nikiwa na appoitment tu na demu, nikishapanda kwenye daladala kuelekea eneo la tukio tayari nasimamisha!
Hapana Yesu aliondoa hii Kitu! Si unakumbuka yule mama ambaye aliletwa mbele yake amezini? Alisemaje? Yule asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga jiwe!!!! kwani alibaki mtu? Hakuna naye akasema ondoka hata mimi sikuhukumu!!!kaka yangu asante, na hilo nalifahamu vizuri.
Mungu ni mkamilifu, anajitosheleza mwenyewe(vivyo hivyo sheria zake) kwa leo nakubaliana ana wewe ili tusirudi kule kwa Maxshimba kwa leo.
Hivi is jino kwa jino still applicable??
Hapa mkuu umenichanganya kidogo! Sasa tuzini na nani??
ni siku ya kwanza tu, hizo siku nyengine mpaka leo mchezo unafanyika kama kawaida,haina problem, nilichokuwa nataka nijue kama kuna baadhi ya watu ambao imeshawatokea.Too much information....? siku ya kwanza that means kulikuwa na siku ya pili na ya tatu...... yani ur problem is solved
ni siku ya kwanza tu, hizo siku nyengine mpaka leo mchezo unafanyika kama kawaida,haina problem, nilichokuwa nataka nijue kama kuna baadhi ya watu ambao imeshawatokea.
Lakini hiyo kwa wazungu wengi ni kawaida. Ndoma shori wa kidhungu akimpata mmbongo hawezi kumwacha kwa kuwa anapata kitu ya kweli. Nimeona mademu wengi wanaoolewa na wazungu ni lazima wawe na wabongo wa kuwamega. yale majamaa ni mabingwa wa "kunawa". Utapigwa finga mpaka usikie harufu ya k... chumba kizima lakini jongoo wake hawezi kupanda mtungi. Ushauri kwa dada zangu kama unampenda mzyungu kwa minoti sawa lakini kama unampenda mdume kwa kazi nenda kwa mbongo.