Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
sijapiga chabo, kweli tena.............. nyie wenyewe mmeongea kwa sauti kubwa ndo nikasikia. msijali, sitaenda kusema kwa wengineWamelala, tuongee tu kwa uhuru
Wee FP, mambo ya chabo umeanza lini?
Hebu tupa hicho kichelewa unachopekenyulia pazia.
Ayaaaaa.... Unawaona hapo chini?..........Tayari wamekwisha anza. Hivi kale kachupi kako ka zambarau bado unako? Nakumbuka nlikuwa nakavizia kukanusa ukikaanika chini ya godoro enzi zile bado wakojoa kitandani....
sijapiga chabo, kweli tena.............. nyie wenyewe mmeongea kwa sauti kubwa ndo nikasikia. msijali, sitaenda kusema kwa wengine
Asante bibi/babu, sijaharibika.Hawa wajukuu wengine washakuharibu
Wakati ulikuwa kipenzi changu jana
Hebu chukua mia tano ukasuke tatu kichwa kwa ajili ya shuleni.
Mmmmh! Mimi nikiwa na appoitment tu na demu, nikishapanda kwenye daladala kuelekea eneo la tukio tayari nasimamisha!
Ole wako nikukute ushaharibika:emptybath:😛eep:Asante bibi/babu, sijaharibika.