Siku ya leo nimegundua hili naomba tujifunze kwa pamoja, hi ndo miraculous nature ya hiki kitabu?

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Neno dunia limetajwa mara 115.
Neno kiama/akhira pia limetajwa 115
Neno pepo limetajwa 77
Neno jahanamu pia limetajwa mara77.
Neno malaika limetajwa mara 88
Neno shaitwani limetajwa mara 88
Neno kifo limetajwa 145
Neno uhai limetajwa 145.
Neno mwanaume limetajwa 23
Neno mwanamke limetajwa 23
23+23=46 ndo idada ya chrozomes ambazo binaadamu anakua nazo, 23 kutoka kwa mama na 23 hutoka kwa Baba.
Neno miezi limetajwa mara 12.
Neno siku limetajwa mara 365.
Neno aridhi limetajwa mara 13
Neno bahari limetajwa 32
13 kwa 32 sasa huo ndo mgawanywo wa aridhi na bahari katika duniani I.e
13:32.
Aridhi 28.88%
Bahari 71.11%.

Hapo jiulize Qur"an miaka 1400 eliwezaje kujua hayo yote hata kabla ya sayansi hiyo ni ishara tosha ya utukufu.
Mwenye challenge zenye facts sio mihemuko chuki na matusi tuna mkaribisha ili tujifunze zaidi
 
Kwa kweli Qur"an is above sayansi ni kitabu cha ukweli.
 
Kitabu kisichokuwa na Shaka ndani yake
Na kimesha toa challenge kwamba kama kuna mwenye kua nashaka nacho basi alete surah moja tu anao fanana nao, mpaka leo hamna mwenye kuileta, maneno tupu.
 
Ni kitabu ambacho kimegusa kila kitu bila kuacha sayansi inaiga kwenye Qur"an
 
Na kimesha toa challenge kwamba kama kuna mwenye kua nashaka nacho basi alete surah moja tu anao fanana nao, mpaka leo hamna mwenye kuileta, maneno tupu.
Naomba ufafanuzi wa Quran 3:3

Anayezungumza hapo ni nani ,anayezungumziwah hapo ni nani na anayeambiwa hapo ni nani?
 
Naomba ufafanuzi wa Quran 3:3

Anayezungumza hapo ni nani ,anayezungumziwah hapo ni nani na anayeambiwa hapo ni nani?
Sasa mbona uko nje ya mada mkuu mimi nataka kujifunza hayo juu sitaki ligi na wenye kupiga kila jambo bila ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…