Wakuu unaweza ukafikiri Kama masaa hayaendi kiukawaida wake kwa sababu naona Leo siku imekuwa ndefu sana.toka asubuhi niliikatia tamaa ndo maana natamani ifike TU usiku nilale
Nakazia:hela imekuwa ngumu Sana yaani hata kumwomba rafiki yako buku TU unaona aibu maana Kama wewe Hauna yeye atapatia wapi?maisha yamekuwa mazuri lakini hela ndo msala.tuendelee kukomaa lakini tuzitafute hata Kama tutazipata tukiwa tayari na mvi.sio mbaya ilimradi zitakuwepo mfukoni za kula.. na Tena hata wanawake kaeni mbali na Mimi kipindi hiki sitaki kabisa kwanza nishagundua naweza kuishi peke yangu bila msaidizi wa kufanana nami.