habari ya weeked!!!
katika kuadhimisha siku hiyo hebu tukumbuk kidogo huko nyuma tulipokuwa wadogo (watoto) kama wa kiafrika.
je ni jambo gani utawashukuru , pongeza, laumu au hata kuto kusahau kitu kutoka kwa wazazi wako au hata walezi pia walichokufanyia mpaka kufikia hatua ya utu uzima (kujitegemea kimaisha na kimaamuzi pia) .
binafsi nawapongeza kwa kunipigania nisome kwa bidii ili nitofautishe elimu ya darasani na ya maisha (kitaa).
nawasilisha.