goldcall
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 416
- 567
Clear understood, sikukuu hii ya pasaka ni siku maalumu kama kumbukumbu ya kufufuka kwa Yesu kristo na si vinginevyo, manake ufuska, ulevi na mambo mengine ya ajabu, hufanywa sana siku kama ya leo, wadangaji mtulie, slays queens kaeni nyumbani mtubu, acheni kulandalanda mitaani kuinajisi siku nzuri tena takatifu,
Mtasema nasema maisha ya watu, ni hivyo sikukuu ya pasaka sio kwa ajiri yenu kwenye ulevi,ufuska na ukahaba siku yenu ilishapita ya kuvaa nguo nyekundu valentine day, kwaiyo kama mnapanga maangamizi leo ninawasihi mkafanye siku nyengine.
MSIJIFANYISHE KAMA HAMLIONI HILI:
Msisahau kunawa mikono au ku sanitize covid-19 ni hatari tulia nyumbani, vijiwe na mikusanyiko isiyo ya lazima corona itakusaidia kukupeleka unakokutaka acheni ujuaji, acheni ubishi, tulieni nyumbani na kufuata maelekezo yanayotolewa na wizara ya afya.