Siku ya pekee kwangu,je wenzangu mnaionaje?

Siku ya pekee kwangu,je wenzangu mnaionaje?

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Posts
4,879
Reaction score
1,126
Leo ni siku ya tofauti sana ni tar 11.11.2011.
Ni karne kumi imepita tangu 11.11.1111.
Karne moja tangu 11.11.1911.
Tusubiri karne moja kuwa 11.11.2111.
Naiona ya pekee kwangu na nitaiweka kwenye kumbukumbu zangu kwani hakuna uwezekano wa kuiona hiyo inyofuata.
Kwa kuanzia nimeamka tofauti, nimevaa tofauti,nitakula tofauti, na nitalala tofauti.
Na hii thread nilitaka kuirusha saa 11:11 am.nimeshindwakwa sababu ya mipangilio.
 
for me i am sick,
najipanga panga hapa niende hosp.
 
mmmmmmh!...everywhere is war_war in dar(ubungo),mby(mwanjelwa),arusha,babati,singida etc,....what a terrible coincedence....sitamani kuiona teeeeeeeena
 
Leo ni siku ya tofauti sana ni tar 11.11.2011.
Ni karne kumi imepita tangu 11.11.1111.
Karne moja tangu 11.11.1911.
Tusubiri karne moja kuwa 11.11.2111.
Naiona ya pekee kwangu na nitaiweka kwenye kumbukumbu zangu kwani hakuna uwezekano wa kuiona hiyo inyofuata.
Kwa kuanzia nimeamka tofauti, nimevaa tofauti,nitakula tofauti, na nitalala tofauti.
Na hii thread nilitaka kuirusha saa 11:11 am.nimeshindwakwa sababu ya mipangilio.

Kwangu hii tarehe nitakula bia nyingi sana na ukizingatia tarehe hii imeangukia Ijumaa!
 
Back
Top Bottom