Kama Jaji Mkuu,Rais Magufuli au Waziri Kangi Lugola wasipoliongelea lile tukio la DED kuamuru mtu kupigwa risasi kanisani ni wazi watakuwa hawana UTU na UZALENDO ambao wanaupambania kila kukicha,maana hata Jaji Mkuu nae hatakuwa na maana mbele ya MAHAKAMA[emoji848]
#ChangeTanzania
Sent using
Jamii Forums mobile app