Siku ya UKIMWI Duniani: Watu Milioni 74.9 wameugua ugonjwa huo tangu ulipogundulika

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Siku ya UKIMWI Duniani huadhimishwa kila tarehe 01 Desemba ikitoa mwanya kwa kusherekea na kuunga mkono jitihada zinazofanyika Ulimwenguni za kuzuia maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI, kuongeza uelewa kuhusu UKIMWI na kuwafariji wale waishio na Virusi hivyo

Tangu Siku ya UKIMWI ilipoanza kuadhimishwa zaidi ya miaka 30 iliyopita, maendeleo katika kuzuia na kujaribu kutibu UKIMWI yamekuwa kwa kiasi kikubwa, dawa za kuwasaidia watu wanye virusi hivyo kuishi muda mrefu, maisha yenye afya na kuzuia uambukizaji, zimepatikana

Kaulimbiu ya Mwaka huu ni “Jamii Huonesha Tofauti.” Hii inalenga msaada wa Jamii kupitia uraghabishi kuhakikisha kuwa mapokeo kuhusu UKIMWI yanabaki kuwa wazi na ya kueleweka huku ikihakikisha kila mtu anashiriki katika matukio mbalimbali kuhusu UKIMWI

Kwa mujibu wa UNAIDS, Kwa mwaka 2018 Watu Milioni 37.9 walikuwa wanaishi na Virusi vya UKIMWI, Watu Milioni 1.7 walipata maambukizi mapya ya Ugonjwa huo huku Watu 770,000 walifariki kutokana na magonjwa yatokanayo na Ugonjwa huo

Aidha, kwa mujibu wa Shirikia hilo hilo, tangu kuibuka kwa Ugonjwa wa UKIMWI hadi mwishoni mwa mwaka 2018, Watu Milioni 74.9 Wamepata maambukizi ya UKIMWI huku watu Milioni 32 wakifariki kutokana na magonjwa yasababishwayo na Ugonjwa huo

AC7AF5D8-545B-48F1-951A-59A9143B761A.jpeg

******

World AIDS Day, held each year on December 1, is an opportunity to celebrate and support global efforts to prevent new HIV infections, increase HIV awareness and knowledge, and support those living with HIV.

Since World AIDS Day was first observed more than 30 years ago, progress to prevent and treat HIV has been extraordinary. HIV medicines are available to help people with HIV live long, healthy lives and prevent HIV transmission. In addition, effective HIV prevention methods, including pre-exposure prophylaxis (PrEP) and post-exposure prophylaxis (PEP), are available.

The theme of this year's World AIDS Day is "Communities make the difference".

Communities contribute to the AIDS response in many different ways. Their leadership and advocacy ensure that the response remains relevant and grounded, keeping people at the centre and leaving no one behind.

Communities include peer educators, networks of people living with or affected by HIV, such as gay men and other men who have sex with men, people who inject drugs and sex workers, women and young people, counsellors, community health workers, door-to-door service providers, civil society organizations and grass-roots activists.

Global HIV statistics
  • 24.5 million people were accessing antiretroviral therapy (end ofJune 2019).
  • 37.9 million people globally were living with HIV (end 2018).
  • 1.7 million people became newly infected with HIV (end 2018).
  • 770 000 people died from AIDS-related illnesses (end 2018).
  • 74.9 million people have become infected with HIV since the start of the epidemic (end 2018).
  • 32.0 million people have died from AIDS-related illnesses since the start of the epidemic (end 2018).

People living with HIV
  • In 2018, there were 37.9 million people living with HIV.
    • 36.2 million adults.
    • 1.7 million children (<15 years).
  • 79% of all people living with HIV knew their HIV status.
  • About 8.1 million people did not know that they were living with HI

New HIV infections
  • New HIV infections have been reduced by 40% since the peak in 1997.
    • In 2018, around 1.7 million were newly infected with HIV, compared to 2.9 million in 1997.
  • Since 2010, new HIV infections have declined by an estimated 16%, from 2.1 million to 1.7 million in 2018.
    • Since 2010, new HIV infections among children have declined by 41%, from 280 000 in 2010 to 160 000 in 2018
Women
  • Every week, around 6000 young women aged 15–24 years become infected with HIV.
    • In sub-Saharan Africa, four in five new infections among adolescents aged 15–19 years are in girls. Young women aged 15–24 years are twice as likely to be living with HIV than men.
  • More than one third (35%) of women around the world have experienced physical and/or sexual violence at some time in their lives.
    • In some regions, women who have experienced physical or sexual intimate partner violence are 1.5 times more likely to acquire HIV than women who have not experienced such violence.
 
Afadhali imengukia Jumapili kila mtu apate muda wa kujitafakari!

Ngono zembe ni hatari kwa afya. Mimi najiepusha nayo, wewe je!
 
Wapo watu kibao tu wameugua hadi kufa pasipo kupitia kwenye taasis rasmi za kutoa huduma kwa hiyo hizi takwimu hazina uhalisia wowote.
 
ARV zimefanya watu waone ngomani kama mafua...

Lakini ukweli ni kwamba zimefanya maambukizi kuongezeka zaidi maana watu wanajiachia tu...
 
Very informative
Ahsante... 70% of PLHIV wapo South of Sahara...
Huyo Dr Robert intention yake nadhan ilikuwa ni ku wipe out Black population...... very evil....
 
Wapo watu kibao tu wameugua hadi kufa pasipo kupitia kwenye taasis rasmi za kutoa huduma kwa hiyo hizi takwimu hazina uhalisia wowote.
Takwimu huwa ni makadirio kaka....
there is no exact numbers on those issue...
The law of large numbers ina apply hapo
 
Siku ya UKIMWI Duniani huadhimishwa kila tarehe 01 Desemba ikitoa mwanya kwa kusherekea na kuunga mkono jitihada zinazofanyika Ulimwenguni za kuzuia maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI, kuongeza uelewa kuhusu UKIMWI na kuwafariji wale waishio na Virusi hivyo

Tangu Siku ya UKIMWI ilipoanza kuadhimishwa zaidi ya miaka 30 iliyopita, maendeleo katika kuzuia na kujaribu kutibu UKIMWI yamekuwa kwa kiasi kikubwa, dawa za kuwasaidia watu wanye virusi hivyo kuishi muda mrefu, maisha yenye afya na kuzuia uambukizaji, zimepatikana

Kaulimbiu ya Mwaka huu ni “Jamii Huonesha Tofauti.” Hii inalenga msaada wa Jamii kupitia uraghabishi kuhakikisha kuwa mapokeo kuhusu UKIMWI yanabaki kuwa wazi na ya kueleweka huku ikihakikisha kila mtu anashiriki katika matukio mbalimbali kuhusu UKIMWI

Kwa mujibu wa UNAIDS, Kwa mwaka 2018 Watu Milioni 37.9 walikuwa wanaishi na Virusi vya UKIMWI, Watu Milioni 1.7 walipata maambukizi mapya ya Ugonjwa huo huku Watu 770,000 walifariki kutokana na magonjwa yatokanayo na Ugonjwa huo

Aidha, kwa mujibu wa Shirikia hilo hilo, tangu kuibuka kwa Ugonjwa wa UKIMWI hadi mwishoni mwa mwaka 2018, Watu Milioni 74.9 Wamepata maambukizi ya UKIMWI huku watu Milioni 32 wakifariki kutokana na magonjwa yasababishwayo na Ugonjwa huo

******

World AIDS Day, held each year on December 1, is an opportunity to celebrate and support global efforts to prevent new HIV infections, increase HIV awareness and knowledge, and support those living with HIV.

Since World AIDS Day was first observed more than 30 years ago, progress to prevent and treat HIV has been extraordinary. HIV medicines are available to help people with HIV live long, healthy lives and prevent HIV transmission. In addition, effective HIV prevention methods, including pre-exposure prophylaxis (PrEP) and post-exposure prophylaxis (PEP), are available.

The theme of this year's World AIDS Day is "Communities make the difference".

Communities contribute to the AIDS response in many different ways. Their leadership and advocacy ensure that the response remains relevant and grounded, keeping people at the centre and leaving no one behind.

Communities include peer educators, networks of people living with or affected by HIV, such as gay men and other men who have sex with men, people who inject drugs and sex workers, women and young people, counsellors, community health workers, door-to-door service providers, civil society organizations and grass-roots activists.

Global HIV statistics
  • 24.5 million people were accessing antiretroviral therapy (end ofJune 2019).
  • 37.9 million people globally were living with HIV (end 2018).
  • 1.7 million people became newly infected with HIV (end 2018).
  • 770 000 people died from AIDS-related illnesses (end 2018).
  • 74.9 million people have become infected with HIV since the start of the epidemic (end 2018).
  • 32.0 million people have died from AIDS-related illnesses since the start of the epidemic (end 2018).

People living with HIV
  • In 2018, there were 37.9 million people living with HIV.
    • 36.2 million adults.
    • 1.7 million children (<15 years).
  • 79% of all people living with HIV knew their HIV status.
  • About 8.1 million people did not know that they were living with HI

New HIV infections
  • New HIV infections have been reduced by 40% since the peak in 1997.
    • In 2018, around 1.7 million were newly infected with HIV, compared to 2.9 million in 1997.
  • Since 2010, new HIV infections have declined by an estimated 16%, from 2.1 million to 1.7 million in 2018.
    • Since 2010, new HIV infections among children have declined by 41%, from 280 000 in 2010 to 160 000 in 2018
Women
  • Every week, around 6000 young women aged 15–24 years become infected with HIV.
    • In sub-Saharan Africa, four in five new infections among adolescents aged 15–19 years are in girls. Young women aged 15–24 years are twice as likely to be living with HIV than men.
  • More than one third (35%) of women around the world have experienced physical and/or sexual violence at some time in their lives.
    • In some regions, women who have experienced physical or sexual intimate partner violence are 1.5 times more likely to acquire HIV than women who have not experienced such violence.
Ajira zilizoletwa na UKIMWI ni zaidi ya hizo milioni74.Sioni dalili za ugonjwa Kuisha maana ni neema kwa baadhi ya watu,NGO,viwanda,madokta nk
 
Back
Top Bottom