Uchaguzi 2020 Siku ya uzinduzi wa kampeni kwa upande wa CHADEMA Dar es Salaam kutafurika umati wa watu haijawahi kushuhudiwa tangu tupate Uhuru

HIVI UCHAGUZI WA 2015 DSM NANI ALIPATA KURA NYINGI CCM AU CDM?
 
HIVI UCHAGUZI WA 2015 DSM NANI ALIPATA KURA NYINGI CCM AU CDM?
Safari hii haibiwi mtu? Yule mzee alikuwa dhaifu sana. Lissu ameshasema mkitangaza tofauti na kura raia tunamwagika mtaani?
 
Watu wanaenda kwenye mikutano ya chadema kupata burudani jinsi viongozi wa chama wanavyopayuka na kufika, ukweli wataupata siku ya kupiga kura na msije singizia umeibiwa sababu kwenye kampeni watu walikuwa wanaacha kazi wanakuja kuwasikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…