Sintaonaajabu kama hao waalimu walivalishwa hizo fulana za njano kwani mambo mengi ya chama cha waalimu yanahujumiwa na serikali kwavile katibu mkuu wa chama hicho ni kada mkongwe wa ccm; kwahiyo yote yale yanayojili kwenye vikao vya chama cha walimu serikali inataarifiwa kila kitu!!