Leo ni siku ya Walimu duniani ambayo inalekewa kila mwaka octoba 5,ambapo mwalimu wa Tanzania anachangamoto,karibuni Walimu kujifariji na kujipa moyo wakati huu ambapo mnaidai serikali ya Tanzania mabilion ya shilling,na changamoto maeneo ya kazi,wanasiasa kuingia katika elimu,na sasa hivi kuna Big Result Now,na ubishi wa serikali kujadiliana na CWT kufikia muafaka,maana karibuni nilimsikia Mukoba akitahadharisha Serikali wakiendelea na Ukaidi wao watafanya maamuzi magumu,karibuni nawapenda sana walimu wote bila wao nisingeingia JF,siku yenu walimu hii@Madame B@Mamndenyi@Evenly Salty@MAMAYAKE B@MALICK MUSSA
"Vox Popoli Vox dei"