Siku ya Wanawake Duniani, Haki za Binadamu na Historia ya Bibi Titi Mohamed

Kwa hiyo wanawake duniani unaangalia mmoja tu tena hapa Tanzania.Aisee
 
Chizcom,
Ungetazama video ungekuta nimeeleza historia ya Wanawake wengine waliopigania uhuru wa Tanganyika: Sharifa bint Mzee (Lindi), Bi. Aza (Kilwa,), Halima Selengia, Amina Kinabo, Mama bint Mwalimu, Lucy Lameck (Moshi), Fatma bint Matola (Mbeya), Nyange bint Chande na Zarula bint Abdul Rahman (Tabora).

Ningeweza kueleza wanawake wengine nje ya Tanzania lakini niliulizwa historia ya Tanzania.
 
Nakupongeza kwa kutokata tamaa. Watu wanaodharau nyuzi zako kuna siku wataziheshimu. Naona watu wachache wana comment kama vile si kitu. Nikutie moyo usichoke kuanzisha nyuzi na pia usihisi mpweke
 
Chizi...
Sielewi kwa nini umesema "sijakata tamaa," "watu wanadharau nyuzi zangu.''

Nyuzi unazoziona hapa ziko kwingi na JF ni moja ya majukwaa ya makala niandikazo pamoja na video.

Ni kweli JF kwa sasa usomaji wa nyuzi zangu umepungua sana na sababu si dharau.

Zipo sababu nyingine na kubwa ni wasomaji wa JF ni kutoka fungu gani katika jamii yetu?

Kwa nini siku za nyuma walikuwa haweshi kuchangia nyuzi zangu na kwa nini sasa wamejizuia?

Mijadala ile ilipelekea mimi kuchaguliwa Mwandishi Bora JF mara mbili mfululizo, mwaka wa 2022/23 na 2023/24.

Ikiwa ukweli ni huu hili la mimi kukata tamaa linaingiaje?

Mwaka jana Mwezi wa Ramadhani kama huu nilitunukiwa nishani kwa uandishi wangu na February mwaka huu nimepokea nishani nyingine Zanzibar.

Sijawa mpweke hata mara moja.
 
Seee!inasaidia sababu hujakata tamaa ndo maana unapewa hizo tuzo. JF nadhan hakuna anayeandika kama wewe hata kama watu hawashiriki wewe huwa hukati tamaaa unaandika tu. Hata kama kuna comment zero ndo hapo nakusifu

Eeeenheee wasomaji wa JF ni kutoka fungu gani katika jamii yetu? Hapo nisaidie
 
Screenshot_2025-03-05-03-36-44-516_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2025-03-05-03-37-05-987_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2025-03-05-03-36-44-516_com.android.chrome.jpg
 
Seee!inasaidia sababu hujakata tamaa ndo maana unapewa hizo tuzo. JF nadhan hakuna anayeandika kama wewe hata kama watu hawashiriki wewe huwa hukati tamaaa unaandika tu. Hata kama kuna comment zero ndo hapo nakusifu

Eeeenheee wasomaji wa JF ni kutoka fungu gani katika jamii yetu? Hapo nisaidie
Chizi...
Hebu nisaidie hii kukata tamaa nielewe.

Nina tuzo tano za uandishi.

Nimezungumza katika vyuo vikuu vingi ndani na nje ya Tanzania.

Nimeandika vitabu kadhaa na wachapaji mfano wa Oxford University Press New York na Nairobi.

Nimeshiriki katika uandishi wa Dictionary of African Biography mradi wa Harvard.

Nimehojiwa na vyombo vyote vikubwa duniani: Al Jazeera, VoA, BBC, DW.

Hapa nchini nakuachia wewe useme: TBC, AZAM, ITV ....

Mambo lukuki.

Unakuja kwangu na lugha ya kukata tamaa.

Nana kakuambia hayo maneno?

Ingia YouTube kalamutz tazama watu wangapi wameingia kuangalia video zangu.

Hii ni channel moja tu.
Fanya utafiti kabla hujaandika.
 
Ndo maana nasema uendelee kuandika.uandishi ni kitu kizuri andika tu hata kama watu hawachangii. Wewe andika tu si kama hivyo unapata tuzo... Which is good.
 
Basi mimi wakuelezwa hayo na wewe?
Una kitu kinakuchoma moyo unadhani utaweza kushusha joto linalokusonga kwa kunibughudhi.

Nani kakwambia watu hawachangii?
Mimi nasomwa dunia nzima kinaposemwa Kiswahili.

Nadhani hili hulijui.
Nakupa rejea nyingine baada ya ''kalamutz.''

Ingia "Gumzo la Ghassani.''
Nielewe kwa kusoma hayo hapo chini:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.​
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam​
The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam​
In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).​
Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).​
Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards​
Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED
Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.

Kutembelea nchi si issue maana mimi mpaka muda huu nipo nje ya nchi. Naishi huku. Nimetembelea nchi nyingi sana i cant count. Kutokana na asili ya kazi zangu.
 
Una kijeba cha roho.
Husda inakuhangaisha.

Hasad inakuhangaisha inakutafuna.

Hukuona yote umeona nchi.
Huna lolote.

Ungekuwa na kitu usingekuwa hivi.

Ungefahamu unazungumza na mtu aliyezungumza Northwestern University hili peke yake lingekutia heshima na adabu.

Unatunga uongo unauleta hapa.
Ati asili ya kazi.

Unaandika umejificha sura na jina.

Unatishwa na nini na nani?

Mimi niko hapa kwa sura na majina yangu.

Nyote mnamfahamu.
Mohamed Said.

View: https://youtu.be/FLGgUz7i8mA?si=-E9FPB6ZU-peckc7

105 K views na nina nyingi mfano wa hiyo.
 
Kutembelea nchi si issue maana mimi mpaka muda huu nipo nje ya nchi. Naishi huku. Nimetembelea nchi nyingi sana i cant count. Kutokana na asili ya kazi zangu.
Chizi...
Una kijeba cha roho.
Husda inakuhangausha.

Hasad inakuhangaisha inakutafuna.

Hukuona yote umeona nchi.
 
Chizi...
Una kijeba cha roho.
Husda inakuhangaisha.

Hasad inakuhangaisha inakutafuna.
Hukuona yote umeona nchi.

View: https://youtu.be/FLGgUz7i8mA?si=-E9FPB6ZU-peckc7

105 Views na nina nyingi mfano wa hiyo.

Kijeba unamaanisha Kijiba. Right? Nimekosea tena kukujibu sheikh wangu? Husda ya nini tena sheikh wangu naona kama umepaniki bure. Kumbuka wewe ni mwandishi mwenye tuzo nyingi Mudy. Unapaswa uwe na utulivu. Mi nakusaidia angalau pia upate wachangiaji kwenye nyuzi za hapa. Uandishi watu wengi wanaandika siku hizi. Tuzo zinatoka sana. Zipo tu sheikh wangu.
 
Chizi . ..
Sipo katika kundi la watu alim ingawa natamani.

Nimekuwekea CV yangu.
Siko katika kundi hilo.

Nimekuwekea vyuo nilivyofika na kuzungumza.

Nimekuwekea media nilizopita.
Si uungwana kuniita Muddy.

Unanikejeli.

Hakuna utani katika elimu na scholarship.

Mimi si mtu wa maskhara katika hii dunia niliyoishi nikaandika vitabu na kusomwa ndani ya Cambridge Journal of African History.

Hizo si anga za vichekesho unavyotaka kuniingiza.

Watu wameandika siku zote lakini usinitie huko.

Maktaba yangu ni kati ya Maktaba tatu zilizosheheni historia ya Julius Kambarage Nyerere (Shivji at al 2020).

Maktaba ya kwanza ni ya Dr. Salim Ahmed Salim, ya pili yangu na ya tatu ni ya Brig. General Hashim Mbita.

Nimeandika vitabu vilivyobadili historia ya Julius Nyerere na historia nzima ya Tanganyika.

Haya si mambo ya utani.

Nakusihi tuishie hapa kuchunga heshima zetu.
 
But ni short form ya Mohamed. Kama unavyoniita Chizi bila kumalizia jina langu. Anyway. Mi nakupongeza sana. Tena sana. Sina hiyana kabisa na wewe.
 
Back
Top Bottom